SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
Tulia kwanza upunguze hasira ndio uandike. Maana sio kwa michapio hiyo. Ila bao tano nyingi dadeki, lazima mchanganyikiwe!Shida ya mashabiki wa yanga ni wanafiki, na pia ni vigeu geu wakiona simba wameshinda wapo na jezi ya simva ng'we ukiona yanga wamefubga ng'wee halafu wengi ni wachawi
Lishe duni kila kitu ubishani, timu zina miaka 90 toka zimeundwa hazina viwanja, hazina facilities zaidi ya kukodi , Such a low thinking falks ndio mnafikisha hili soka letu lilipo.Uwanja ndio unakupa timu bora na kuchukua mataji?
Naomba atolewe haraka sana, atupishee.
Pole sana sio kila siku ni ijumaaAje hata Mourinho mnara ni ule ule 5g
Hata yanga pia ashawahi wapasua so atawapasua na yanga pia😁Azam kama wana akili ndio muda wa kumchukua huyu kocha, kwanza ana uzoefu na soka la bongo, pili azam wana wachezaji wazuri kuliko simba lakini pia kocha anawajua makolo nje ndani kwa hiyo wakikutana ni mwendo wa kuwapasua tu.
Kabisa,kocha sio mbaya kabisaJamaa ni kocha mzuri, sema tu presha ilimzidi akaachana na falsafa yake. Azam kocha huyo kazi kwenu. Uzuri mna mawinga wazuri wa kutosha na wachezaji wenye Kasi, achana na mifaza ya Simba ile.
Acha kashfa mkuuGSM ni mhuni tu wa kariakoo huwezi hata kidogo kumuweka kundi moja na Mo Dewji tajiri ambaye dunia nzima inamjua.
GSM anatajirikia magumashi ya bandarini na kiama chake kimeshafika, DP World na ufanisi wake ndio mwisho wa uanaharamu wote anaoufanya GSM kwa kuingiza madawa ya kulevya na ukwepaji mkubwa wa kodi.
Simba kufungwa na Yanga 5-1 ni kutetereka tu lakini kila kitu kinarudi kwenye mstari ulionyooka ndani ya muda mfupi ujao.
Jinsi kalivyo kafupi na kanavyolalamuka kila saa. Kuna siku nilimuuliza oale Element hotel kabla hawajacheza na Waydad. Mgunda yupo wapi nataka niongee naye, kakanijibu huku kananungunuka. Sijui aliniogopa yule mrundi akijua mimi ni miongoni mwa staff wa WAC. Kakaanza kulalamika.Haupendi uchezaji wa Ntibanzokiza au muonekano wake?
Kile kikosi kinaweza kuwa kibovu lakini sisi wekundu hatujazoea pira papatupapatu.Tunakosa kupata clean sheet kweli?Kama sio mpira wa Tinho wa kujilinda kila mechi mngeoga mvua ya magoli kama juzi kwa kikosi chenu kile.
Ngoja tuwaone.
mwana CCM sitegemei uwe na akili ya kisasa, maana una maika 60 na hukui.HAISAIDI
Sasa ostadhi hizo tano tano unaweka za nini kama sio kutafuta watu ugomviMsiwe na tabia ya kurudisha wastaafu 5imba ndio maana mnafeli. Rejea kurudishwa kwa Luis Miquissone na Chama wameisaidia nini 5imba?
Watachelewa sana kulijua hiliZimwi la simba ni mo
Jinsi kalivyo kafupi na kanavyolalamuka kila saa. Kuna siku nilimuuliza oale Element hotel kabla hawajacheza na Waydad. Mgunda yupo wapi nataka niongee naye, kakanijibu huku kananungunuka. Sijui aliniogopa yule mrundi akijua mimi ni miongoni mwa staff wa WAC. Kakaanza kulalamika.
Aliyekua "Best scorer" last season akifungana kwa magoli na Fiston Mayele!!???Naomba iwe kweli, kocha simpendi kabisaaa.
Na dirisha dogo, Ntibanzokiza afurushwee.
PoleMie sipigani nawewe maana nipo simba kwa raha na huzuni kama leo
Mwamba mboni umechagua tusi dogoKocha alikuwa mpuuzi mpuuzi. Viongozi nao ni mikund* vile vile