Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Uwanja ndio unakupa timu bora na kuchukua mataji?
Lishe duni kila kitu ubishani, timu zina miaka 90 toka zimeundwa hazina viwanja, hazina facilities zaidi ya kukodi , Such a low thinking falks ndio mnafikisha hili soka letu lilipo.
hujui uwanja ndio facility ya kwanza kwenye kuwa na timu bora?
Mchezaji mzuri atafanyia wapi mazoezi? unataka aende kwenye kambale pale jangwani au bunju kwenye kokoto?

#Nataka kukusunya ila , wacha nipotezee tu.
 
Naomba atolewe haraka sana, atupishee.
IMG-20231107-WA0009.jpg
 
Kocha ametolewa sadaka, kwa record yake ameonewa.

Uzembe wa wachezaji wa ndani, hasa mabeki ndio ulikuwa msaada mkubwa kwa utopolo kutufunga magoli matano.

Lakini kwasababu wachezaji hawawezi kufukuzwa, kama kawaida wakufukuzwa ni kocha pekee, hii ndio sababu iliyomuondosha Robertinho.

Namkubali sana yule kocha, mpira siku zote ni ushindi, habari ya mpira mzuri bila kujali matokeo ni utoto tu.
 
Azam kama wana akili ndio muda wa kumchukua huyu kocha, kwanza ana uzoefu na soka la bongo, pili azam wana wachezaji wazuri kuliko simba lakini pia kocha anawajua makolo nje ndani kwa hiyo wakikutana ni mwendo wa kuwapasua tu.
Hata yanga pia ashawahi wapasua so atawapasua na yanga pia😁
 
Jamaa ni kocha mzuri, sema tu presha ilimzidi akaachana na falsafa yake. Azam kocha huyo kazi kwenu. Uzuri mna mawinga wazuri wa kutosha na wachezaji wenye Kasi, achana na mifaza ya Simba ile.
Kabisa,kocha sio mbaya kabisa
 
GSM ni mhuni tu wa kariakoo huwezi hata kidogo kumuweka kundi moja na Mo Dewji tajiri ambaye dunia nzima inamjua.

GSM anatajirikia magumashi ya bandarini na kiama chake kimeshafika, DP World na ufanisi wake ndio mwisho wa uanaharamu wote anaoufanya GSM kwa kuingiza madawa ya kulevya na ukwepaji mkubwa wa kodi.

Simba kufungwa na Yanga 5-1 ni kutetereka tu lakini kila kitu kinarudi kwenye mstari ulionyooka ndani ya muda mfupi ujao.
Acha kashfa mkuu

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Haupendi uchezaji wa Ntibanzokiza au muonekano wake?
Jinsi kalivyo kafupi na kanavyolalamuka kila saa. Kuna siku nilimuuliza oale Element hotel kabla hawajacheza na Waydad. Mgunda yupo wapi nataka niongee naye, kakanijibu huku kananungunuka. Sijui aliniogopa yule mrundi akijua mimi ni miongoni mwa staff wa WAC. Kakaanza kulalamika.
 
Kama sio mpira wa Tinho wa kujilinda kila mechi mngeoga mvua ya magoli kama juzi kwa kikosi chenu kile.
Ngoja tuwaone.
Kile kikosi kinaweza kuwa kibovu lakini sisi wekundu hatujazoea pira papatupapatu.Tunakosa kupata clean sheet kweli?
Angalia mechi na Al Ahl tunapata goli kisha dakika kadhaa tu wanarejesha.
Yaani Yanga wanatuzidi kwa pasi wakati sisi ndo wenye pira biriani.

Mkuu hii mechi ya juzi tulopigwa khamsa asubuhi, nilivaa jezi nyeupe ya Simba lakini mida kuelekea mechi niliamua kuvua kwa sababu nilijua lazima tutapigwa siyo chini ya goli 2
Licha ya kuwa Utopolo wako vizuri msimu huu lakini timu yetu imetufanya tuwe wanyonge toka msimu unaanza na pira bovubovu tukiuliza aah OBUJEKITIVU FUTIBOLI.

Community shield ni zali tu, mda wote tuko nyuma ya mpira kwa mechi zote hadi na ile timu ya Madelu.
 
Msiwe na tabia ya kurudisha wastaafu 5imba ndio maana mnafeli. Rejea kurudishwa kwa Luis Miquissone na Chama wameisaidia nini 5imba?
Sasa ostadhi hizo tano tano unaweka za nini kama sio kutafuta watu ugomvi
 
Tatizo la simba ni viongozi wa timu,kwasababu toka wameanza kua na maamuzi yao ya mihemko yakufukuza makocha hakuna cha maana kilichobadilika kwenye timu nawao bado wapo ofisini.Kila mara wanasema timu ina malengo lakini malengo yenyewe hawataki kuvumilia machungu iki kuyafikia,wanataka waamke leo leo wayapate na bado wanajiona wanafaa kua viongozi.Unafukuza kocha katikati ya msimu na januari kuna dirisha dogo timu imejipangaje kurekebisha mapungufu yaliyopo au watakua busy kutafuta kocha mpya ambaye nayeye hadi akae sawa timu itakua ni hii hii.Viongozi wako busy kutafuna ela za Mo ndo maana kila mara amekua akilalamika nayeye kwasababu hajui tatizo la timu ni nini anaishia kulalamika mtandaoni.Je ni lini watakua tayari kuvumilia kocha ambaye ataisuka timu kwa muda wakutosha ili waanze kunufaika na matunda ya kweli badala yakujifariji nakutaka mafanikio ya ghafla ghafla ambayo matokeo yake nikusababisha waamuzi wafungiwe kwasababu ya mashinikizo ila ukicheza na mkubwa mwenzako ulimi unatepeta.Ngoja tuone ila sioni jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsi kalivyo kafupi na kanavyolalamuka kila saa. Kuna siku nilimuuliza oale Element hotel kabla hawajacheza na Waydad. Mgunda yupo wapi nataka niongee naye, kakanijibu huku kananungunuka. Sijui aliniogopa yule mrundi akijua mimi ni miongoni mwa staff wa WAC. Kakaanza kulalamika.


Nakuelewa, msamehe, anatafuta tu maisha. Kuna tabia tunazaliwa nazo mbaya, zinakuwa kama ugonjwa, zinaweza kuwa zinauzi watu wengine, ila hatukuzichagua.
 
Back
Top Bottom