Halafu hawa baadhi ya wanasiasa,wasiishie tu kukimbizana na siasa,walee vyema watoto wao pia,hii sidhani kama watoto au ndugu wa late JPM imewahi kutokea,mzee yule alikua anadiscipline TAIFA na familia yake pia.Viongozi waige aina ile ya ulezi,mzee hakuegemea kwa wananchi tu,hadi kwake.
Mkusanya TozoGeorge B. Simbachawene (mb).
Ndo nanii huyoo mie simjui
This is Bongo mkuu. Hivi ulishawahi kujua wale traffic wanaowazinguaga madereva wa serikali kwa video huwa wanaishia wapi??? Hahahah huyo dogo kila atakaye mshughulikia be assured atapoteza cheo.Duh!kumbe! Basi najua anko magu alimsifia so nilitegemea hata cheo angepandishwa.
Kumbe walimzingua?
Baba yake Ana jina toka enzi za Akudo, sio mshamba au mlimbukeni,kazoea madaraka na pesa,tatizo pombeUshamba na ulimbukeni ndio vina mzuzua anajivuna kwa madaraka ya baba yake.
Sasa Simbachane awajibike ajiuzulu mara moja kwa kashfa hiyo ya mwanawe.
Ilikuaje tenaDah umenikumbusha mbali sana aiseee, hii kitu itanimaliza /tafuna maisha yangu yote
Kweli kisa mtoto wa waziri dahHili ni tukio la kawaida. Limekuzwa kwa sababu ni mtoto wa waziri...
Magari yanabutuana kila cku Dar na watu wanakula kona.
AaahMkusanya Tozo
Mh.umeji misdirrect, Hakuna na haitowahi kutokie vicarious liability kati ya biological father na Mtu mzima ambaye ameshakidhi miaka 18 , anayejitegemea na sio disabled.Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
😁Watu wakianza kujiuzulu kisa watoto au kufumaniana na michepuko, nakuhakikishia hii nchi itakosa viongozi.
Watu hawatokuelewa, hao jamaa wataitwa kwa RTO j3 wapigwe chini, kazi ya upolisi hupaswi kutumia akili yako wewe Bali fanya unachotegemewa kufanya,mfano Afande wako akutume sehemu afu wewe useme huna nauli Basi utatolewaBehind the door wenzake walimshughulikia. Unajua iko hivi, kila mtu anataka kujipendekeza, huyo mtoto wa Simbachawene kitakachoenda kutokea ni afisa mmoja tu tena anaweza kuwa IGP akaamrisha dogo aachwe na akampigia waziri tunaomba utusamehe na hapo hao traffic kibarua kipo hatarini. Yaani hao polisi hawakutumia hekima. Ni muhimu walipaswa baada ya kujua wawasiliane hata na baba yake kwa sababu ni waziri then kimya kimya wanamaliza zali. Hiyo ya mapicha video, wamuulize mwenzao kilichomtokea.
Kumbe kuna mengi yanajificha hatujui,sasa kama yule traffic aliomzingua mahiga unataka kusema alizinguliwa baada ya anko magu kifa au?This is Bongo mkuu. Hivi ulishawahi kujua wale traffic wanaowazinguaga madereva wa serikali kwa video huwa wanaishia wapi??? Hahahah huyo dogo kila atakaye mshughulikia be assured atapoteza cheo.