Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

Amemteua MCHENGERWA jembe pale Or tamiseni.
Amemteua Jerry Slaa jembe na kumrudisha Mwanza Mabula.
 
Ametuletea wawekezaji wa kiarabu na kusaini mkataba na kampuni ya DP World
 
aliamuachia Mbowe huru na kuruhusu maridhiano baina ya Serikali na vyama vya Upinzani vikiongozwa na Chadema.
Na Kisha kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ambayo ilifungiwa ktk awamu ya 5, kwa miaka 5.
ndio maana Lisu anazunguka kila kona ya nchi bila bugudha.
Rais dkt Samia ashukuriwe sana na azidi kuombewe sana.
 
Hakuna binadamu yoyote duniani anae weza kutenda mema tu asitende mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…