FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
MOU 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isaya 54:17Jirani wa nyooooooooko
[emoji23][emoji23][emoji23]Amefungua nchi
Ametuletea wawekezaji wa kiarabu na kusaini mkataba na kampuni ya DP WorldUkihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.
Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.
Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.
Mnakaribishwa wadau wa siasa
Mjinga wewe. Anacheza namba ngapi huko Taifa Stars? Ama yeye ni kocha?Hakuna hata kimoja, hivi Tanzania ishawahi kufika fainali za AFCON?
Haijawahi na bado haijafika mpaka sasa.Hakuna hata kimoja, hivi Tanzania ishawahi kufika fainali za AFCON?
Huyo si mama yangu ni Rais wa JMT. Ustaarabu ni kitu cha bure.HAKIKA ANAUPIGA MWINGI MAMA YAKO
Anatakiwa aagize maji ya zamzam na tende.Agiza karanga za kuchemsha kwa bili yako View attachment 2743361
Umetia aibu sana.Hakuna hata kimoja, hivi Tanzania ishawahi kufika fainali za AFCON?
Kuuliza si ujinga. Hawaoni aibu askofu wa mwambulukusi kuvaa kanzu za pinki nione aibu mimi? Unanshangaza.Umetia aibu sana.
Unatia aibu sana.Kuuliza si ujinga. Hawaoni aibu askofu wa mwambulukusi kuvaa kanzu za pinki nione aibu mimi? Unanshangaza.
nani alikwambia ICE CREAM inapendwa na kila mtu!!!!Ukimpenda itasaidia nini au unamuongezea nini? SSH sio ice-cream hadi apendwe na kila mtu.
Eeh sawa vumilia 2030 siyo mbaliTAPELI LITALINDWA NA MATAPELI MENZIE HUKO JESHINI ILI LIZIDI KUWAIBIA WATANGANYIKA
Hakuna binadamu yoyote duniani anae weza kutenda mema tu asitende mabayaUkihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.
Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.
Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.
Mnakaribishwa wadau wa siasa
We mrundi bila shaka ndio kusema ujui hayati alicha kaanzisha nini na huyu mama anaendeleza nini?Miradi ipi mkuu?
Unaweza kuiorodhesha hapa?