Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

Amemteua MCHENGERWA jembe pale Or tamiseni.
Amemteua Jerry Slaa jembe na kumrudisha Mwanza Mabula.
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Ametuletea wawekezaji wa kiarabu na kusaini mkataba na kampuni ya DP World
 
aliamuachia Mbowe huru na kuruhusu maridhiano baina ya Serikali na vyama vya Upinzani vikiongozwa na Chadema.
Na Kisha kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ambayo ilifungiwa ktk awamu ya 5, kwa miaka 5.
ndio maana Lisu anazunguka kila kona ya nchi bila bugudha.
Rais dkt Samia ashukuriwe sana na azidi kuombewe sana.
 
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.

Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.

Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.

Mimi binafsi simpendi na si mkubali Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu naona kama kwenye huu uongozi wake ndiyo amekuwa Rais wa ajabu kuliko waliomtangulia.

Binafsi pia nilikuwa simkubali Rais Magufuli lakini naona kidogo yeye alikuwa na uafadhali kwa raia wa Tanzania kuliko huyu Samia.

Sasa nahitaji mtu anayeweza kunieleza kwa facts aliyoyafanya Rais Samia tangu amekuwa Rais pengine naweza kumpenda kuanzia leo.

Mnakaribishwa wadau wa siasa
Hakuna binadamu yoyote duniani anae weza kutenda mema tu asitende mabaya
 
Back
Top Bottom