Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuja kujinyea ipo sikuMm huwa sipendi kula sana,,,, huwa nakula sahani 3 za wali maharage na ni baada ya kupata ugali kidogo kama size ya matonge 21 ambayo yameshauliwa kitaalam na hapo asubuhi nakuwa nimekunywa chai na andazi 4 halafu usiku naanza na uji then makande size ya nusu kisado. Hii awamu ya 6 na kazi iendelee
A[emoji1][emoji1][emoji1]Utakuja kujinyea ipo siku
Hiyo saa 2 mpaka saa 6 ushipigwa mizinga mpaka unajiuliza hivi kabla ya kukutana nami alikuwa anaishije.Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.
Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine, kuongea hadi mkutane sehem flani, n.k haya mambo yalikuwa yanafanya mjuane sana zaidi na zaidi,
Siku hizi hali imebadilika sana, kijana atamfata binti na kuomba namba saa 2 asubuhi, si ajabu penzi likaanza saa 6 mchana, jioni watafanya mapenzi na usiku penzi likawa limeisha.....