Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

Mm huwa sipendi kula sana,,,, huwa nakula sahani 3 za wali maharage na ni baada ya kupata ugali kidogo kama size ya matonge 21 ambayo yameshauliwa kitaalam na hapo asubuhi nakuwa nimekunywa chai na andazi 4 halafu usiku naanza na uji then makande size ya nusu kisado. Hii awamu ya 6 na kazi iendelee
Utakuja kujinyea ipo siku
 
Acha lawama

Watu kutumia viungo vyao kuna tatizo gani mkuu.....

Yajue ya kuzingatia,, usije ukachanganyikiwa...
 
Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.

Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine, kuongea hadi mkutane sehem flani, n.k haya mambo yalikuwa yanafanya mjuane sana zaidi na zaidi,

Siku hizi hali imebadilika sana, kijana atamfata binti na kuomba namba saa 2 asubuhi, si ajabu penzi likaanza saa 6 mchana, jioni watafanya mapenzi na usiku penzi likawa limeisha.....
Hiyo saa 2 mpaka saa 6 ushipigwa mizinga mpaka unajiuliza hivi kabla ya kukutana nami alikuwa anaishije.
 
Back
Top Bottom