Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

Hivi ikatokea labda akawa RIP ikajitokeza chance ya kumsindikiza kaburini je unaweza kujitolea kukaa nae kwa grave?Maana unasema utakuwa naye hadi mwisho.
Siyo ajitokeze,tutamlazimisha azikwe naye,tuone kama chawa anaweza mfuata ng'ombe machinjioni
 
Wenzako akina jingalao TumainiEl and get al walijiyoa sana ufahamu kama wewe unavyojitoa sasa,

Waulize Kwa sasa wapo wapi?

Nakupa miaka mitatu utakuwa unasugua benchi,ukiuponda utawala mpya
Kwa nini? Sasa tofauti yangu na hao ni kwamba Mimi namkubali Rais for leisure na Kwa mapenzi binafsi sifanyi Kwa maslahi.

Mimi ni mwanauchumi figures ndio zonaongeo sio tu vitu tudoho tudogo.
 
hiyo ndio demokrasia yako kama ambavyo mimi rasmi namuunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini? Sasa tofauti yangu na hao ni kwamba Mimi namkubali Rais for leisure na Kwa mapenzi binafsi sifanyi Kwa maslahi.

Mimi ni mwanauchumi figures ndio zonaongeo sio tu vitu tudoho tudogo.
Hata JPM alikuwa na akina Kafulila waliosifia figures kama wewe,nakupa miaka mitatu tu
 
Rais samia hategemei kura za wendawazimu,.Rais Samia atapigiwa Kura za kishindo kutoka kwa mamilioni ya watanzania,Rais samia atapewa na kupata kura za mamilioni ya vijana ambao Rais samia amewapa matumaini niwa kuwapa maelfu ya ajira tangia ameingia madarakani. Watumishi wote wa umma watampa kura kwa kuwa amewapa tabasamu tangia ameingia madarakani kwa kuwapandishia mishahara kwa 23% ,kuwalipa malimbikizo ya madeni yao,kuwapandisha madaraja pamoja na nyongeza ya mshahara ya kila mwaka .atazoa kura zote za wakulima baada ya kuwa amekuwa kama mkombozi wao hasa baada ya kuwapa na kuwaandalia soko la uhakika kwa mazao yao pamoja na upatikanaji wa pembejeo. Atachota na kukomba kura zote za wafanyabishara ambao sasa wanafanya Biashara kwa amani na utulivu. Ataondoka na kura zote za watanzania ambao ameendelea kugusa maisha yao
 

Kama hutajali naomba kujua huo mkoa ulipo...
 
Majitu kama haya sijui yanafanya nini hapa JF,ni zaidi ya jitu pumbavu.
 
Hata wewe unaona aibu tu, unatuvizia tukisahau nawe useme umejitoa, huyo bibi anayemuunga mkono ni zezeta tu.
we mjinga.kweli nisimuunge mkono kwa lipi? miradi inaendelea nchi nzima wafanyakaz wanapata mishahara mpaka madai yao. watoto wenu mnao zaa kama kuku wanaendelea kulipiwa ada . madarasa yanajengwa mapya. mpo huru hadi mnatukana. wewe ndoo huna akili. labda twaambieni rais gani katawala tukawa tunaishi kama tupo peponi? changamoto zipo kwa kila rais
 
Nimecheka hapo eti na hilo mkalitazame😂😂😂😂

Ukweli ni kwamba tunaishi kwa nguvu ya Mungu hata katika hili suala dogo tu la mafuta ambalo Mungu katupa utashi wanadamu wa kuweza kulitatua lakini unakuta limeshindikana halafu tuseme tuna viongozi hapana kwa kweli binafsi najisemea Mungu anasimama na sisi sana tu na tunaweza kuishi bila hata ya kuwa na Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…