Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Kosa kubwa tunalofanya wakati wa kuoa au kuolewa ni kuwa,tabia mbaya unazoziona mwenzi wako anazo,usifikiri kuwa iko siku utaweza kuzirekebisha mkishakuwa mmefunga ndoa,ukumbuke kuwa tabia huwa haina dawa,kama ni mlevi,mzinzi,mvivu,muongo,mchafu n.k kaa ukijua kabisa kuwa huwezi kuvibadilisha...
 
Nipe sababu kuu 3 ambazo zilikufanya uonehuyi mwanamke ni sahibi wwewe kuoa.
Kisha unipe madhaifubyake uliyoyaona kwenye uchumba lakini ukajipa moyo kwa udhaifu wake huu na mazuri yake haya, huyu still anafaa nafasi ya kuwa mke wangu, tujue ulikosea wapi.
 
Unaweza Kuta unamlaumu binti wa watu bure tu kumbe tatizo ni ww maana sio Kila mtu ni mpambanaji wengine wanahitaji kushikwa mkono na kuonyeshwa njia ndipo waendelee mbele.
 
Anajua kupika?
Anajua kuoga usafi?
Anajua kulea mume au mtoto hata wa ndg?

Anajua *kusoma?

Usimuache utapata laana, fungua biashara muweke hapo asimamie, utakuwa umesolve tatizo la uvivu kiasi flan.

Usiishie hao, tafuta polepole mke mwingine....mwenye tabia unazopenda.

Mwanamke anafundishwa hafukuzwi
 
Mpe taraka, kama huwezi vuta jiko la pili kaishi nae huko ukaenjoy huyu wa kwanza taratibu atashika adabu acha kabisa kumzingatia mpaka anyooke.
 
Nahisi kama.ulikuwepo mkuu! Yote uliyoyaongea yapo sahihi mkuuπŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…