Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Mausiano yenu yana muda gani kabla mjaowana, maana msikute mlianzia bar, mkaenda nyumba za wageni kesho kutwa mkawekana ndani
 
Kumbe ishu ni mahari kubwa na mke mvivu? Hayo yanatibika. With time utaniambia ila usikurupuke kuachana
 
Vijana wa Leo wanaangalia shepu na rangi tu . Halafu kufunga ndoa wanadhani ni fashion ahahahaha. Mkuu kutoa ni kuamua kuwa mvumilivu for the rest of your life.. wewe ni kiongozi wa familia komaa kutumia nafasi yako vyema
 
Hicho kitabu nilikutana nacho mara nyingi ila nikakipuuza. Na kuna kingine "48 laws of power" Ila mwaka huu nitajitahidi kukisoma maana nimezidi udhembe..

Shukrani mkuu kwa suggestion 🙏🏽
 
Mkuu wewe bado sana yaani, wanawake ni maua tu kwenye nyumba kama ulioa upate msaidizi ni kweli ulikurupuka, sisi tuliomaliza kitabu cha mapenzi na kuhitimu kitabu cha wanawake hao ndio mademu tunaowataka sema bahati tu hatunayo ya kupata mademu wa hivyo, tunaishia kupata mafeministi wanatupelekesha kishenzi hatunywi hata maji, kama unaachana nae tafadhali sana[emoji120][emoji120][emoji120] mpe namba yangu nijipakulie minyama bro wako, mimi demu ninaemtaka ni yule ambaye nikishamzagamua cha asubuhi alale weeee mpaka usingizi umuogope, akiamka anywe supu alioandaliwa na beki 3 kisha aendelee kulala, akiamka apige msosi wa nguvu kisha aendelee kulala aamke jioni akoge, anisubiri kwa mzagamuo wa usiku, hayo ndio yatakuwa maisha yake ampaka apate mimba anizalie watoto wazuriii, pisi kale na madume shababi, hiyo ndio kazi yake nitakayompatia, na nitampatia zawadi akirudi tu hospitali kujifungua
 
Ulitongozewa!??
 
Mwache mtoto wa watu,

So mnasema ndoa ni ajira kwa mwanamke!!!!!,


Mwache,akila/kulala na kukuhudumia inatosha

NB;umejaribu kuongea nae kuhusu biashara labda?
Mwanamke wa kula kulala na kuzaa watoto ndie nimtakae, nilijua wamekwisha kumbe bado wapo asante Mungu bado nina matumaini
 
Kutii mashart ni lazima,Mimi naona shida sio kutokuwa na kazi ni mvivu ni tabia yake
Uvivu ni hulka ya mwanamke yeyote aliyekuwa hajabadilika, akiacha uvivu anakuwa femenist, wewe uko upande gani?
 
Kuna ushauri mmoja wa muhimu hapa. Nenda kamwambie huu ujumbe umeandika hapa kwa kumjulisha hisia zako juu yake.

Kwa huku naona ni kama tuko kwa kumsengenya tu. Rudi kwake useme naye, kwani kasoro hizo naona zinaweza kurekebishika tu.

Ova
 
Ni aibu Mwanaume kushindwa ndoa!
Huyo mke ni mzuri sana, unachotakiwa ni kumfundisha kazi taratibu.
 
Sina Cha kukushauri ila nikikumbuka halafu unaambiwa hakuna kuachana mpaka kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…