Hapa nazungumzia hawa single mother's wa mwendokasi ambao hawajawai kuwa na ndoa na waliowazalisha wapo
Hawa single mother's wa mwendokasi most wao ndio waliachwa na kama wao ndio waliwaacha waliowazalisha basi waliwaacha kwa sababu za kijinga
Mwanaume yoyote yule hawezi kumuacha mwanamke mwenye akili,Sasa kama mwanaume mwenzio kamzalisha alafu akamiacha
Je kwanini alimuacha ?
Wewe una akili kuliko aliyemzalisha ?
Mwanaume kamili hawezi kuchukua mtumba aliyakuwa kitu kipya kipo
Makapukula ndio wanaongoza kutoka na single mother kwa sababu ya kufata maslahi na si upendo
Mwanaume asiye na mapungufu yoyote hasa ya kiuchumi,kiafya,kiumbo hawezi kuoa single mother
Ukiona mwanaume kaoa single mother jua HAJIAMINI na TAHIRA
Kuoa single mother ni kusababisha migogoro mikubwa baadae hasa kwenye urithi
na swala la urithi wa mali na umiliki mali. Hebu wazia umekutana na mwanamke ana watoto labda wawili halafu mkaanza kuyajenga pamoja. Baada ya miaka kadhaa mtoto akikua na kupata uelewa kuwa wewe si baba yake Utakubari awe MRITHI WA MALI ZAKO ??
Ushauri
Single mother Tafuteni hela angalau mpate mario maana mwanaume mwenye kila kitu hawezi kukuoa
Acheni Gubu kuolewa tu ukiwa single mother ni msaada tosha
Msibague wanaume ukipata mlevi sawa ukipata mfupi sawa ukipata wa dini tofauti na yako single mother badilisha haraka dini uolewe kwani nafasi zenu ni Finyu
Sent using
Jamii Forums mobile app