Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaNchi ngumu hii
Unapenda ubaba wa kamboHakuna mahusiano magumu kama ya single mother na kijana ambae hana mtoto hata mmoja
Single mother huwa wanampima mtu kwa mambo madogo madogo na ya kipuuzi saana (ni wajinga)
Ukiona mwanaume kaoa single mother jua HAJIAMINI na TAHIRA
Ugumu upo hapo kwanini waachwe na mtu aliyemzalisha lazima wana matatizo tu ambayo hayabebekiNilidhani wanaonewa au wanasingiziwa lakini ukweli ni kwamba %kubwa single moms hawana upendo wa dhati, nina uhakika na hilo. Wanatafuta msaada wa malezi ya watoto tu hakuna lingine
Kwanini ukapalamie tatizo ambao mwenzako lilimshinda ni akili hizo kama sio utahiraAiseee
Kwaiyo huo uwezo mzazi mwenzake hakuuoana mpaka wewe ndio ukauone [emoji23][emoji23][emoji23] wengi baada ya kuachwa huwa wanaigiza tu tabia then ukimuweka ndani unaona sura halisiBeauty is in the eyes of the beholder! Unapokuwa busy kutafuta upungufu wao, wenzio wapo busy kuangalia uwezo wao. Hayana formula boss.
wengi waliopo ni single mother sema hawajanyonyesha na watoto wao likufa kwa kujitakia!Hapa nazungumzia hawa single mother's wa mwendokasi ambao hawajawai kuwa na ndoa na waliowazalisha wapo
Hawa single mother's wa mwendokasi most wao ndio waliachwa na kama wao ndio waliwaacha waliowazalisha basi waliwaacha kwa sababu za kijinga
Mwanaume yoyote yule hawezi kumuacha mwanamke mwenye akili,Sasa kama mwanaume mwenzio kamzalisha alafu akamiacha
Je kwanini alimuacha ?
Wewe una akili kuliko aliyemzalisha ?
Mwanaume kamili hawezi kuchukua mtumba aliyakuwa kitu kipya kipo
Makapukula ndio wanaongoza kutoka na single mother kwa sababu ya kufata maslahi na si upendo
Mwanaume asiye na mapungufu yoyote hasa ya kiuchumi,kiafya,kiumbo hawezi kuoa single mother
Ukiona mwanaume kaoa single mother jua HAJIAMINI na TAHIRA
Kuoa single mother ni kusababisha migogoro mikubwa baadae hasa kwenye urithi
na swala la urithi wa mali na umiliki mali. Hebu wazia umekutana na mwanamke ana watoto labda wawili halafu mkaanza kuyajenga pamoja. Baada ya miaka kadhaa mtoto akikua na kupata uelewa kuwa wewe si baba yake Utakubari awe MRITHI WA MALI ZAKO ??
Ushauri
Single mother Tafuteni hela angalau mpate mario maana mwanaume mwenye kila kitu hawezi kukuoa
Acheni Gubu kuolewa tu ukiwa single mother ni msaada tosha
Msibague wanaume ukipata mlevi sawa ukipata mfupi sawa ukipata wa dini tofauti na yako single mother badilisha haraka dini uolewe kwani nafasi zenu ni Finyu
Sent using Jamii Forums mobile app