Sio Kila maumivu ni Hospital mengine ni Pesa tu

Yani hiyo elf20 tu ndio kicheko chote hicho
 
Dawa ni moja tu, tafuta hela zako. Kupata maumivu kwa pesa za mwingine ni dalili ya changamoto ya afya ya akili
 
 
Bro ahsante kwa kutuwakilisha vema
 
Sikuhizi wanaume wamekua omba omba wa hela wanaleta tabia za kike Sasa huyo hata ukiwa na uchovu namna gan hela Hana ya kukupa
Wanaume tukianza kurudisha mashambulizi mnaanza kutoa milio humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ