Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #61
Ukiwa na njaa, ikatokea mtu akuambie uchague sahani ya wali maharage au akupe shilingi 1000, utachagua ipi?kila mtu ashinde mechi zake, we naona sahiz gongo ishaanza kuchanganya hapo kilabuni
moto unapekecha?Binadamu wa kale aliishije?
inategemea ni njaa ya ninUkiwa na njaa, ikatokea mtu akuambie uchague sahani ya wali maharage au akupe shilingi 1000, utachagua ipi?
Ukitaka kusafiri unafanyaje mkuu? Kule Hospitalini huendagi broo?Kwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini?
Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi.
Nikitaka unga wa mahindi, nasaga mahindi niliyovuna nakula mwaka mzima.
Nikitaka mchele, nakoboa mpunga niliolima nakula mwaka mzima.
Nikitaka matunda, naingia bustanini navuna.
Sasa hela ina umuhimu gani kwangu, kama kila ninachohitaji ninapata kutoka mashambani, mabandani n.k?
Nilichogundua wale wanaotafuta hela sana, ni wavivu wakulima na kufuga.
inategemea ni njaa ya nin
kwahiyo unashinda bila nguo hapo ulipo?Tunatumia magome ya miti na mizizi, na wengi tulioko huku tuna miaka zaidi ya 80.
Ukigonganisha mawe tu, cheche za moto zinatokeamoto unapekecha?
Njaa ya tumboinategemea ni njaa ya nin
Ukiugua unajitibuje ndugu?Kwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini?
Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi.
Nikitaka unga wa mahindi, nasaga mahindi niliyovuna nakula mwaka mzima.
Nikitaka mchele, nakoboa mpunga niliolima nakula mwaka mzima.
Nikitaka matunda, naingia bustanini navuna.
Sasa hela ina umuhimu gani kwangu, kama kila ninachohitaji ninapata kutoka mashambani, mabandani n.k?
Nilichogundua wale wanaotafuta hela sana, ni wavivu wakulima na kufuga.
Kuhusu tiba tunatumia magome ya miti na mizizi, mavazi tunatumia barter trade.Ukitaka kusafiri unafanyaje mkuu? Kule Hospitalini huendagi broo?
Nguo yako ikichakaa unaendelea nayo ivo-ivo au
Unalima chumvi na sabuni?
Tunatumia mizizi, magome ya miti na matundaUkiugua unajitibuje ndugu?
I see. Hii mupyaTunatumia mizizi, magome ya miti na matunda
Tunatengeneza wenyewe hukukwahiyo unashinda bila nguo hapo ulipo?
Huku hatuugui hovyo, tunakaribia kufikisha miaka 90I see. Hii mupya
imbombo jilipoTunatengeneza wenyewe huku
Huko Dubai kuna nini?njoo Dubai na hayo mabanda yako ya kuku
njoo ule bata .toka maporini hukoHuko Dubai kuna nini?
Bata zetu huku ni kulima na kufuganjoo ule bata .toka maporini huko
jihadhari na nyoka😁Bata zetu huku ni kulima na kufuga