Sioni umuhimu wa kutafuta au kumiliki hela

Vp mkuu hapo shamba umepanda na madawa ya UTI sugu na una kiwanda hapohapo kwajili ya kufabricate vijora vya mamsapu?
Vp kuhusu kifurushi cha MBs za kuperuzi JF?
Najua ukitaka kusafiri unatumia ungo ambao mechanism ya kuunda, raw materials unazo hapo shamba kwako.
 
Huku magome ya miti na mizizi inatusaidia sana, kuhusu mahitaji mengine, tunabadilishana kitu kwa kitu, na si kitu kwa hela.
 
Maisha sio kula na kunya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…