Kwa hiyo Tabia za Baba yako na Maisha ya Mwanaume nyie kwenu ndio mnachanganya?Hivi unadhani wakisema wanawake watembee uchi kuna mwanaume atapinga,na unadhani anaekasirishwa na matukio ya wanawake kuwa watupu ni mwanaume?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapolaumu wanaume usichanganye tabia za baba yako na maisha ya wanaume.
Naona hapa unataka kusema wanaume wananyanyasa wanawake, haya hebu tufafanulie na utaje majina ya nani na nani wanaofanya hayo manyanyaso....
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakaoelewa wanatosha hata kama ni mmoja. Wewe kama huelewi hainihusu. Wala sio tatizo languSasa kama unajua vitu unavyoandika vinazidi uwezo wa unaowaandikia then why the hell would u bother kutuandikia ile hali ni wazi wajua tukisoma hatutaelewa....?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tumeelewaSasa kama unajua vitu unavyoandika vinazidi uwezo wa unaowaandikia then why the hell would u bother kutuandikia ile hali ni wazi wajua tukisoma hatutaelewa....?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi hapo umejaribu kuhusisha wanaume na sheria as if ofisi zote wanakaa wanaume.....Kwa hiyo Tabia za Baba yako na Maisha ya Mwanaume nyie kwenu ndio mnachanganya?
Watumie inbox sasa, ukileta hapa usipoeleweka utatakiwa kujibu utakachoulizwa sio kuleta ubishi ubishi wa kindezi....... Acha utoto.....[emoji23][emoji23][emoji23]Watakaoelewa wanatosha hata kama ni mmoja. Wewe kama huelewi hainihusu. Wala sio tatizo langu
1. Umefasiri niliyoandika? HAPANAKimsingi hapo umejaribu kuhusisha wanaume na sheria as if ofisi zote wanakaa wanaume.....
But unasahau pia kuwa wanaostushwa na matukio ya wanawake kukaa utupu ni wanawake zaidi sio wanaume.
Hivi unadhani mfano wanawake especially mabinti wakisema wanataka kila maandamano wanataka kuyafanya bila nguo yaani utupu, ni wanaume wangapi watapinga kwanza si ajabu wakaacha shughuli zao na kwenda barabarani kujionea maandamano.
So logic yako ya kusema masculine what what ni hoja isiyo na mashiko na haina uhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kazi yangu
Nimeelewa ujumbe nyuma ya hoja yako. Wewe na mimi ni kama russia na marekani. Utakachofanya au kusema nitasoma maudhui yako sio kile umeandika. So jua nimeelewa ulichomaanisha na nimekijibu precisely inavyotakiwa.1. Umefasiri niliyoandika? HAPANA
2. Umeelewa nilichoandika? HAPANA
3. Huwezi kujenga hoja bila kuhangaika na mawazo yangu? NDIO
Good luck!
Nimeitwa na mtoa mada, nisamehe kwa uwepo wangu, nitaendelea kuwepo
Nimeelewa ujumbe nyuma ya hoja yako. Wewe na mimi ni kama russia na marekani. Utakachofanya au kusema nitasoma maudhui yako sio kile umeandika. So jua nimeelewa ulichomaanisha na nimekijibu precisely inavyotakiwa.
Kwakifupi wewe ni "Misandrous" or "misandrist" in nature yet unapretend kuwa kuna mfumo dume..... Welcome to the hate club....with that attitude of yours things get personal with me....ask anyone here...
Sipendi mtu anaesingizia jinsia ya kiume mambo ya kipuuzi...... Ntadeal na wewe hadi urejee ulipofunzwa vibaya wakurekebishe ulichofunzwa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Beautiful lady, don't be starting nothing or there'll be something..... [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeitwa na mtoa mada, nisamehe kwa uwepo wangu, nitaendelea kuwepo
Good.... Now u know your limits......Kupata kichekesho kingine kama hiki tembelea jamii forums mara kwa mara!
So funny!
Am watching you...... Two eyes popping out for you..... Am watching you.....Kupata kichekesho kingine kama hiki tembelea jamii forums mara kwa mara!
So funny!
Am not beautiful...we anzisha tu hiyo something mi hata sina mudaBeautiful lady, don't be starting nothing or there'll be something..... [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uuuuuuuh..... As if that is true.....Am not beautiful...we anzisha tu hiyo something mi hata sina muda
Keyboard hero. Insane!Am watching you...... Two eyes popping out for you..... Am watching you.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mchoro wa vu zi haujauona?