Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Hivi unadhani wakisema wanawake watembee uchi kuna mwanaume atapinga,na unadhani anaekasirishwa na matukio ya wanawake kuwa watupu ni mwanaume?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unapolaumu wanaume usichanganye tabia za baba yako na maisha ya wanaume.

Naona hapa unataka kusema wanaume wananyanyasa wanawake, haya hebu tufafanulie na utaje majina ya nani na nani wanaofanya hayo manyanyaso....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Tabia za Baba yako na Maisha ya Mwanaume nyie kwenu ndio mnachanganya?
 
Sasa kama unajua vitu unavyoandika vinazidi uwezo wa unaowaandikia then why the hell would u bother kutuandikia ile hali ni wazi wajua tukisoma hatutaelewa....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakaoelewa wanatosha hata kama ni mmoja. Wewe kama huelewi hainihusu. Wala sio tatizo langu
 
Kwa hiyo Tabia za Baba yako na Maisha ya Mwanaume nyie kwenu ndio mnachanganya?
Kimsingi hapo umejaribu kuhusisha wanaume na sheria as if ofisi zote wanakaa wanaume.....

But unasahau pia kuwa wanaostushwa na matukio ya wanawake kukaa utupu ni wanawake zaidi sio wanaume.

Hivi unadhani mfano wanawake especially mabinti wakisema wanataka kila maandamano wanataka kuyafanya bila nguo yaani utupu, ni wanaume wangapi watapinga kwanza si ajabu wakaacha shughuli zao na kwenda barabarani kujionea maandamano.

So logic yako ya kusema masculine what what ni hoja isiyo na mashiko na haina uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakaoelewa wanatosha hata kama ni mmoja. Wewe kama huelewi hainihusu. Wala sio tatizo langu
Watumie inbox sasa, ukileta hapa usipoeleweka utatakiwa kujibu utakachoulizwa sio kuleta ubishi ubishi wa kindezi....... Acha utoto.....[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi hapo umejaribu kuhusisha wanaume na sheria as if ofisi zote wanakaa wanaume.....

But unasahau pia kuwa wanaostushwa na matukio ya wanawake kukaa utupu ni wanawake zaidi sio wanaume.

Hivi unadhani mfano wanawake especially mabinti wakisema wanataka kila maandamano wanataka kuyafanya bila nguo yaani utupu, ni wanaume wangapi watapinga kwanza si ajabu wakaacha shughuli zao na kwenda barabarani kujionea maandamano.

So logic yako ya kusema masculine what what ni hoja isiyo na mashiko na haina uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Umefasiri niliyoandika? HAPANA
2. Umeelewa nilichoandika? HAPANA
3. Huwezi kujenga hoja bila kuhangaika na mawazo yangu? NDIO

Good luck!
 
Nimeelewa ujumbe nyuma ya hoja yako. Wewe na mimi ni kama russia na marekani. Utakachofanya au kusema nitasoma maudhui yako sio kile umeandika. So jua nimeelewa ulichomaanisha na nimekijibu precisely inavyotakiwa.

Kwakifupi wewe ni "Misandrous" or "misandrist" in nature yet unapretend kuwa kuna mfumo dume..... Welcome to the hate club....with that attitude of yours things get personal with me....ask anyone here...

Sipendi mtu anaesingizia jinsia ya kiume mambo ya kipuuzi...... Ntadeal na wewe hadi urejee ulipofunzwa vibaya wakurekebishe ulichofunzwa.....

Kupata kichekesho kingine kama hiki tembelea jamii forums mara kwa mara!

So funny!
 
Hata mchoro wa vu zi haujauona?
gigy.jpg

hivi mnatumia device gani kuangalia hiyo picha? kwa hiyo humo nilimozungushia kwenye weusi hayo ni m@vuz1?
 
Back
Top Bottom