Kimsingi hapo umejaribu kuhusisha wanaume na sheria as if ofisi zote wanakaa wanaume.....
But unasahau pia kuwa wanaostushwa na matukio ya wanawake kukaa utupu ni wanawake zaidi sio wanaume.
Hivi unadhani mfano wanawake especially mabinti wakisema wanataka kila maandamano wanataka kuyafanya bila nguo yaani utupu, ni wanaume wangapi watapinga kwanza si ajabu wakaacha shughuli zao na kwenda barabarani kujionea maandamano.
So logic yako ya kusema masculine what what ni hoja isiyo na mashiko na haina uhalisia.
Sent using
Jamii Forums mobile app