Sipati ajira, sioni faida ya elimu yangu, naona bora kuuza vyeti

Vichome moto tu
 
Rufiji... Wandengereko mmeshindwa kweli kwenda kutafuta mtaji hapo stigler, ujenzi wa bwawa la umeme...

Huko ngorongo sijui mloka, matombo...
 
Yaani makaratasi kwa 18m wakt ujuzi unabaki nao kichwani
Ungesema labda mtu atayeona unamfaa aje akununue kwa bei hiyo kidogo sawa
 
Dadeki,milioni 18,000,000/- Mimi nimetumia milioni tatu kupanda miti Mafinga,baada ya muda Napata hiyo pesa.Lazimamtimfufue magu aje.kutumvua jipu la wizi wa vyeti
 
Vijana mnakoendea mtauza hata jicho hapa jukwaani,muwe na uvumilivu mambo mazuri hayataki haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…