Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Kwa mfano, mama yako mzazi au mkeo akiwa na hizo tabia za feminism, unamuwekaje kando?
Kwanini niwe na mke mwenye tabia hizo ?! Nilimuoa nikiwa nimelewa au ndotoni ebo ?! Yani mwanamke mwenye tabia hizo hata hawezi kunisogelea, na sitaki hata japo salamu yake anawezaje kuja kua mke wangu ?
 
Pole kwa yaliyotokea na hongera kwa kusimama kama kiongozi wa familia hatimae
 
You sound like one manipulative pussy bitchass [emoji23]
Anatakiwa amsikilize Candace Owens halafu atajua hii woke feminism ya miaka hii ni kitu gani na Ile genuine feminism ya miaka ya 50,60 na 70 ni kitu gani.
 
Wew nae ni mzigo kama mizigo mingine
 
Wanaosema 50/50 ni kwenye fursa., uongozi, kazi bla bla na sio kwenye ndoa ni wavivu sana wa ubongo na nadharia fake.

Yani wanasema hawali nguruwe ila supu watakunywa. HELL MWANAMKE AKISHAJIKITA KATIKA HAKI SAWA 50/50 HUKO MAKAZINI NA MAUONGOZINI HATA KWENYE NDOA NI MWENDO WA 50/50.

Jambo lisilojulina ni kua wanawake ni wanafiki sana sana, watasema ati 50/50 ni kwenye fursa ooh sijui wanawaheshimu waume zao, fuc*ck hell no that is a BIG LIE.
 
Usawa haupo mahali popote kati ya mwanaume na m'ke, mme ni mungu wa mke, mungu aliyeiumba dunia ni mungu wa mme, Religious text zinaonesha Mungu alimlaani adam kwa kumtupia lawama mke alipokula tunda bustanini, inaonesha wazi men are responsible for everything in the end.

Feminism inakuja baada ya wanawake kuwa empowered kuliko wanaume, ni ngumu kuwa kiongozi wakati unayemuongoza anakuzidi akili, men should empower themselves kuregain traditional roles kwenye mahusiano. Ni ngumu kwanamke kusubmit km kuna usawa kwenye elimu, fedha na ishu zingine
 
Nakubali, this is logically inconsistent, usawa kwenye elimu lakini tunapofanya maamuzi ya familia hakuna usawa, crazy how![emoji16]
 
Mtu yeyote anaeunga mkono feminist aje atuletee ushuuda na ndoa yeyote ya feminist aliyeolewa na mwanaume anayejielewa na ikawa imebalance mizania fresh tu n a ww mwanaume mwenzangu ukioa feminist umenunua mateso na kuamua kuyamiliki kisheria na kitamaduni Hawa huwa tunapita na kuuwacha na ukichaa wao tena tunauzidisha
 
Same to me mkuu.

Naheshimu sana wanawake, ila wanawake mwenye pigo za kifeminist huwa nawadharau sana na huwa nawakwepa
Yule binti wa Kizanzibari sijui Karume nini simkubali kabisa.
Tuliwahi kusafiri pamoja yaani makelele matupu anataka asikilizwe yeye tu.

Yaani anafujo ndege nzima watu wanamshangaa kwa kujifanya mjuaji wa kila kitu mwanzo mwisho
 
Ila wanaume wengi sijui kwanini mnachukia wanawake wanaojitetea. Matusi yanawasaidia nini mfano ikatokea wanawake nao waanze kuwatukana, jf itakua salama kweli?

Mama zenu na dada zenu mnawaheshimu kweli?
 
Wewe unachukia tu wanawake huoni jema lao wanawake wanafki uliishi nao wapi
 

Kuna rafiki yangu ofisini akikuskia unasema unapenda kuwa submissive anakushangaa eti. Sijui wanaona ni weakness ila unaweza kuwa msomi na majukumu ya mume ukafanya pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…