Hiyo 4500$ ni baada ya kila kituBack then 2009 - 2012 mdau alikuwa analipwa 4500 bongo hii tena sekta binafsi kampuni ndogo tu.
Bado alikuwa analipwa 25% ya malipo ambayo kampuni yake inalipwa na mteja wao endapo akifanya kazi ya consultancy kwenda nje ya ofisi.
Unaweza kukuta hiyo 25% inafika $12,000 hadi $15,000. Hiyo nje ya mshahara wa $4500 kwa mwezi.
Mimi binafsi nilikuwa naenda kupiga kazi hapo kampuni kwa part time 3 times per week masaa 6-8 kisha mwisho wa mwezi nakunja $1000 enzi hizo. Hizo take home hazina makato.
Safi kula maisha kijana.Hiyo 4500$ ni baada ya kila kitu
Free housing
Free transport
Free meal
Alafu extra payment ni 35$ per hour kama nimezidi masaa ya kazi
In total I can make 7000$ per month, na Hiyo natnzaga sigusi joh
Ukistaafu hakikisha uko self sufficient kiasi cha kutomsumbua mtu kwenye circle yako. Kama umenunua Range Rover au any western vehicle manufactured nyuma ya mwaka 2020 iuze sababu utatusumbua uzeeni na hayo mapato yako makubwa si kitu si lolote. Pia, kama hujainvest futa hii sledi. WakatabahuNashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia
Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu
Note that sifanyi Starehe kwamba sina akina ipo Tena in large amount! 700M+
Kataa kubali ni wewe
We unaumwa nenda katibiweNashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia
Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu
Note that sifanyi Starehe kwamba sina akina ipo Tena in large amount! 700M+
Kataa kubali ni wewe
๐น๐น๐น Weka tajiriiiWanazingua ntaweka salary slip hapa onhoooo
Wao ndo wananitegemea Mimi circle nzima yetuUkistaafu hakikisha uko self sufficient kiasi cha kutomsumbua mtu kwenye circle yako. Kama umenunua Range Rover au any western vehicle manufactured nyuma ya mwaka 2020 iuze sababu utatusumbua uzeeni na hayo mapato yako makubwa si kitu si lolote. Pia, kama hujainvest futa hii sledi. Wakatabahu
Tajiriii limewakaa maji ya gold awwww ๐น๐น๐น
Mkuu,uko nchi gani?,na ni kazi gani hiyo?Hiyo 4500$ ni baada ya kila kitu
Free housing
Free transport
Free meal
Alafu extra payment ni 35$ per hour kama nimezidi masaa ya kazi
In total I can make 7000$ per month, na Hiyo natnzaga sigusi joh
HAKIKA NI ZA KWETU
nimeelewa buda hauna nia ya kumhurt mtuSoma mkeka Mzima buda
Tajiriii yuko bwax ananena kwa lugha manyokoo manyokooo ๐น๐น๐น๐นPumbavu nawe onesha basi hako kaushamba *****
View attachment 3624716
4500$ kwa bongo yeah, kwa wenzetu is more like a minimum wageNashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia
Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu
Note that sifanyi Starehe kwamba sina akiba ipo Tena in large amount! 700M+
Kataa kubali ni wewe