Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Hawa wa "vilaki kwa mwezi" huku nyumbani ndio wanaombwa kuchanga fedha ili mwili wa marehemu diaspora urudishwe nyumbani.
Siwezi changisha mtu yaan ni kwasababu tu mengine hatuweki hapa na mtu asiniige atapasuka msamba

Nika kitita cha kutosha
 
Mtu yeyote ambaye yuko smart upstairs na mwenye future lazima ataumiza kichwa kwenye hii michanganuo nakuelewa vizuri mkuu.
 
Ila kutoa povu kwenye nyuzi zake unaweza?
Bongo raha sana kina alikuwa ananikandia sana kwamba niko mbagala ๐Ÿ˜€ simuoni kwenye nyuzi zangu tena ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe jamaa una madini sana.
Kuna kipindi fulani hivi wakati nipo kijana mdogo na niko na pesa halafu hazina matumizi mengi maana nilikuwa sijaoa bado.
Basi kuna kitu kilikuwa kinaniumiza kichwa sana na kujiuliza maswali mengi sana ila swali moja ambalo lilijirudia sana kichwani kwangu ni hili hapa"kwa nini niko na pesa halafu siheshimiki halafu naona kuna watu wanaheshimika sana mtaani kwangu kisa ni mjumbe wa nyumba 10 au mwenyekiti wa mtaa".
Hiki kitu kilinijenga na baadae ilinibidi tu nijifunze kuwa mpole hata kama niko na pesa mfukoni au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ