Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Mi bahili wa visent vyangu ila nataka battle ya kuharibh pesa na huyu msukuma.
Man to woman.πŸ˜ƒ
Siku anagawa pesa nishtue.
Nitalipa mara 3 ya dola zake alogawa kwa pesa ya madafu.
Na sihitaji kujiandaa hadi Dec, hata sasa niko readyπŸ™
😘😘😍
Dadaake huyoooo..!!
venchwa anzisha battle mi nna shida na pesa..!!

Weka stake kubwa ili dada P alipe mara 3
Mfano nitumie dollar 1000 na dada P atume 3000$ 😜

Haya kiburi mwenzie jeuri mwaga midollar hiyo ushapata mpinzani tena mwanamke..!!

Usikubali mwanamke akudharau tajiriii
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Mwanao kimbau mbau kasema hiyo amount aunty ake usiwaze atai cover yeye πŸ˜ƒ
Mwanangu kashaanza kusound rich mapema hivi 😹😹😹

Mwambie aunty anakusubiri ummwagie midollariii..!!

Huyo mkewe anatakiwa cha kwanza asiwe mchoyo, hatutaki ukoo wachoyo waje kutuharibia empire yetu..!! 😹😹😹
 
Kuna vitu pesa haiwezi kukupa hata uwe nayo kiasi gani..... You can't buy class....

Hata ukiwa na pesa kiasi gani huwezi kuifanya ikupe yote

1. Heshima ya kweli.
2. Amani ya ndani ambapo mleta uzi huna.
3. Afya njema hapa kwa andiko hili afya ya akili inacheza cheza.
4. Hekima na maarifa.
5. Furaha ya kudumu.

Pia naelewa maisha ya kuishi ugenini huwa ni ya kipweke sana hvyo huleta stress na mambo kadhaa na unapokutana na comment za jamii forum au social media unatamani kuonyesha uwezo wako kifedha au una nini....

All in all money can't buy class... This is too low.

Chini hapo ni tajiri wa kisukuma kapaua....
 

Attachments

  • Screenshot_20260708_164141_Chrome.jpg
    160.8 KB · Views: 17
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…