Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........

mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .

Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........

Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
Kuna ukweli hapa.
 
Umechelewa mno kuujua huu ukweli, soma hapa

Mwanetu mmoja alikuwa anamfukuzia vibaya demu mmoja walikuwa wanasoma pamoja chuo ila jamaa alimuacha mwaka mmoja yule dada, mshkaji akawa kamaliza akamuacha yule demu hakuwahi kuona ndani wala kuhusiana nae ila demu alikuwa anawekwa vizuri tu.

Muda umepita wa chuo yule dada akamaliza masomo akarudi mtaani. Alipokuwa anaishi yule dada ni kwa aunt yake, kwao ni Manyara, huku na kule yule mdada akapata taarifa kuwa jamaa mambo yake sasa hivi yako swafi, demu asijisogeze nini! Akashika na ujauzito. Wana mtoto wa miaka 3 sasa jamaa anaishi na yule mdada.
Duh, so hapo mwana kampenda demu sana na demu hajampenda wala nini, aisee atakuja zalishwa watoto wasio wake.

Kwakweli ni hatari kupendwa kisa una hela.
 
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........

mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .

Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........

Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
Umeongea maneno yenye busara.
Kazi kwao wanaojidai kupenda kiumbe kinaitwa mwanamke🤣🤣🤣🤣
 
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........

mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .

Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........

Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
hoja imeungwa mkono
 
Mwanaume: UKIWA NA PESA KUWA MAKINI SANA NA MWANAMKE UNAYETAKA KUMUOA. NI HERI YA WALE UNAOJIPIGIA TU KISHA UNAPITA MBALI NAO MAANA HAO HATA HAWATOKUUMIZA KICHWA. ILA YULE UNAYETARAJIA KUMUOA KUWA NAE MAKINI SANA, 90% HAJI KWAKO KWA UPENDO WA KWELI BALI PESA ZAKO NDIYO SABUNI YA ROHO YAKE. JAMANI TUNA MIFANO HAI MINGI SANA KWA HIYO KUWA MAKINI

UTAKUJA KUFA VIBAYA MBWA WEWE KWA KUKOSA UMAKINI WAKO

Ni heri ukaishi na wanao tu. Mbususu zipo hata kama hujaoa
 
Back
Top Bottom