Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukweli hapa.Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........
mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .
Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........
Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
Duh, so hapo mwana kampenda demu sana na demu hajampenda wala nini, aisee atakuja zalishwa watoto wasio wake.Umechelewa mno kuujua huu ukweli, soma hapa
Mwanetu mmoja alikuwa anamfukuzia vibaya demu mmoja walikuwa wanasoma pamoja chuo ila jamaa alimuacha mwaka mmoja yule dada, mshkaji akawa kamaliza akamuacha yule demu hakuwahi kuona ndani wala kuhusiana nae ila demu alikuwa anawekwa vizuri tu.
Muda umepita wa chuo yule dada akamaliza masomo akarudi mtaani. Alipokuwa anaishi yule dada ni kwa aunt yake, kwao ni Manyara, huku na kule yule mdada akapata taarifa kuwa jamaa mambo yake sasa hivi yako swafi, demu asijisogeze nini! Akashika na ujauzito. Wana mtoto wa miaka 3 sasa jamaa anaishi na yule mdada.
Umeongea maneno yenye busara.Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........
mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .
Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........
Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
Hii ndio yenyewe. Heshima tuu na mbususu ndio tutakavyo toka kwenuSi tulikubaliana kuwaa sisi tuwaheshimuu tuuu...Na upendo mnao nyiee auuuu😄😄
😝Poleni.
Sasa unacheka nini?
Kucheka ni hivyo?Sasa unacheka nini?
hoja imeungwa mkonoEwe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........