Kijana ana siku tatu hajaingia X, ameingia kwenye mfumo, kumbuka! Ukikumbatia umeme bila viatu lazima upigwe short.Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
We ndio mjinga unaambiwa yupo polisi kaulize Unaogopa unataka nani akakuulizieSio tukaulize polisi!! Wewe ndio umeleta umbea haraka haraka bila kusikiliza vizuri, halafu unataka watu waende polisi!! Kama hutaki kuulizwa, ondoa huu ujinga wako.
Nenda kamtetee SasaUna ushihidi mtu kalipa fees ili afundishwe asichokijua inakuwaje utapeli
Aliwapiga WakachakaaWakati vichwa vya jf vipo anapiga tu hela akitaka
Nenda kamtetee Sasa
Mwambie mwamposa aseme " no reform no election " alafu uje utupe mrejeshoUtapeli sio kosa la kuhujumu uchumi, Mwamposa angedakwa kama ingekuwa ndio hivyo
Acha wivu wa kike kike mshamba wwNenda kamtetee Sasa
Siasa tu ishangia kati NYUMBU wa kijani wameamua kula nae sahani moja kisa NRNEHuyu kesi yake ni ngumu sana ,alikusanya pesa kwa watu akishirikiana na Capital market broker wa south ambaye hakuwa broker halali ..kinyume chake alikuwa anachezesha kama upatu ,hapa ukitaka nitakufafanulia ,yaani alikuwa anapata faida baada ya kuwaingiza watu watapeliwe na huyo broker ...
Kumbuka broker wa Kipind hicho hakuwa amesajiliwa huko sauth hata hapa bongo so ni kosa ,sio kutrade forex bali ni kuwauza kwa broker tapeli.
Nakukumbusha ,ishu za pesa zina taratibu zake ..Kesi za kukusanya pesa isipokuwa kwa kufundisha watu ,kama huduma za mentorship ila kushiriki moja kwa moja kuwapeleka watu kwenye uwekezaji ni kosa ,ikiwa huo uwekzaji haufuati taratibu wa BOT ..
...
Wivu Gani Kwa tapeli we ni. Mke wa sir Jeff?Acha wivu wa kike kike mshamba ww
Amemuibia nani???Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Leta mnduku wako huo basi niusghulikieWivu Gani Kwa tapeli we ni. Mke wa sir Jeff?
Duh!...hakuacha tu?...Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Bro niaje?πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Wanasemaga jinai haina ukomo...ππKesi ya uhujumu uchumi baada ya kuunga mkono kampeni ya No reforms na election!Walikuwa wapi kutimizi wajibu wao kipindi chote hicho akifanya utapeli
π€£π€£π€£Utapeli sio kosa la kuhujumu uchumi, Mwamposa angedakwa kama ingekuwa ndio hivyo
Tanzania hii matapeli ni wengi na wanakula hela nyingi. bora hata huyo JeffNi tapeli Fulani hivi alikua anapiga pesa za wajinga maana tanzania wajinga wanazaliwa Kila siku