-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,806
Imeisha hiyo
Unasumbuliwa na chuki pamoja na wivu....pambana ujitoe kwenye umasikini angalau uondokane na hiyo hali japo tabia ya mtu ni kama ngozi.Sir Jeff kama kakamatwa haitakuwa kwa sababu yotote ile nyingine zaidi ya matumizi ya VPN kuiunga mkono #NoReformNoElection kupitia Twitter. Namsifu na kumpongeza kwa kujipambanua kama kijana jasiri anayelitetea Taifa lake hata kwa kuyasadaka maisha yake
Mi ni kibenten wa mamaako lile dera alijinunulia mwenyewe mi sidai mtuWewe umeshaenda kudai dera lako ?
Kwasababu sikwepi kodiMbona wewe hujakamatwa sasa ??
Hahahaaaa Mkuu ebu eleza vizuri amedakwa vipi huyu mwamba?! Jangid Plaza 😅😅😅Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Hapo mwisho kwenye UPATU ndo penyewe, kwingine watakua wanasingizia tu mwamba mwenyewe kabsa huyu😅Yawezekana alikuwa anauzia wakulima mbolea feki, au alikuwa anaiba mafuta ya transfoma, au alikuwa anachapisha noti bandia, au anaendesha upatu was kutapeli watu
Unajua kwa TZEE, mtu anayetafuta pesa kwa kutumia akili KUBWA kama wale jamaa wa WALL STREET kwa J P. MOGAN, huitwa tapeli.Hivi sir Jeff wa Twiraa ndo Ontario wa JF?
poleee yake mkaka mzuri, mbna sikua namuona ktk angle ya utapeli? Kuna jambo alinisaidia serious.
Duuh namuombea asikutwe na hatia, na atoke salama awe huru, kuendelea na maisha yake.
Kuna jambo lingine, ila wanasingizia uhujumu uchumi. 😢😢😢😢
Weka picha yake nimwone labda ndiye aliyenitapeli! Nina hasira sana na matapeli!Jamaa kadakwa kizembe sana aisee kama kuku nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Ila kama ni kweli kwamba kukamatwa kwa kuisonkola gouvernment ya saa100 basi huyo anayesonkolwa hana akili kichwani kwake! Unashughulikaje na vipanzi?Huko twitani amekuwa akiidis serikali ya sa100, uhujumu uchumi ni funika-kombe tu.
Huyo jamaa ni tapeli mwizi baada ya kugundua anatafutwa akaanza kuposti no reform no election Ili akidakwa wananchi wajue katekwa kumbe mwiziIla kama ni kweli kwamba kukamatwa kwa kuisonkola gouvernment ya saa100 basi huyo anayesonkolwa hana akili kichwani kwake! Unashughulikaje na vipanzi?
Sio makando kando, kama Una hela kaa kimya kwenye Uanaharakati ni kwa wale choka mbovuNakushauri kijana:
KABLA HUJAAMUA KUJIINGIZA KUIPINGA SERIKALI, HAKIKISHA HAUNA MAKANDOKANDO KWENYE SHUGHULI ZAKO ZA KILA SIKU.
"Play Smart"
Kama ni utapeli wamfanyie ukatili wa hali ya juu kabisa mpaka aseme basi!Huyo jamaa ni tapeli mwizi baada ya kugundua anatafutwa akaanza kuposti no reform no election Ili akidakwa wananchi wajue katekwa kumbe mwizi
Mwachieni bana acha kutafuta uhalali wa kumshikilia.Huyo jamaa ni tapeli mwizi baada ya kugundua anatafutwa akaanza kuposti no reform no election Ili akidakwa wananchi wajue katekwa kumbe mwizi
Komenti hii ionwe na kusomwa na -ArkadHillUnajua kwa TZEE, mtu anayetafuta pesa kwa kutumia akili KUBWA kama wale jamaa wa WALL STREET kwa J P. MOGAN, huitwa tapeli.