Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

Never, [emoji851][emoji851],bora hela ale askofu(jokes)
 
Looks like ua against the Church and ua one of those who wish anything with Christians to go down
 
Looks like ua against the Church and ua one of those who wish anything with Christians to go down
Am not against the Church Sir,am questioning ,the Commercialization of Church to the expenses of the Poor and Humble Servanta of Jesus Christ!
 
Haina tofauti na kumchangia pesa mchungaji anunue gari halafu yeye anakuombea kwa Mungu ununue gariπŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Hawa mandondocha yakisikia uzinduzi wa helicopter yanashangilia huku yakitetemeka kabisa kumbe helicopter yenyewe haiwahusu.
Waliwe tu kwakuwa wamechagua kuwa wapumbavu
 
Soma hapa utajifunza zaidi

 
Wapo wengi sana tu wakristo wanasomeshwa na makanisa ili mradi wawe hawajiwezi kabisa hata wewe kama ni muumin mzuri kanisa linaweza kukusomesha kama utawawaeleza umekwama ada nina ushahidi na hilo kabisaa nilishuhudia wengi tu
 
Unajua watu kama wewe mnafikra za hovyo sana hivi mnafikiri sadaka ndio zinazofanya makubwa yote hayo kwenye kanisa???!hivi hamuonagi vitega uchumi vya makanisa? Sadaka ni ndogo sana usifikiri wanafaidika kiivyo, maendeleo ya makanisa mengi ni misaada ya wazungu kama hamjui hilo uliza mchungaji yoyote akueleze
 
Toa,toa ndugu kile ulichonacho...
 
Kuna shule, hospitali ,vyuo..vyote tunajenga but hakuna unafuu wowote kwa wajenzi
 
Nimepata mmoja wa kwanza, popoma

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Popoma la pili

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
La tatu? Gondogondo

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umenikumbusha miaka ya 2010 nilipomaliza std vii Mwalimu mkuu wa shule niliyokuwa nasoma alikuwa anaujua vizuri uwezo wangu darasani na pia matokeo yangu ya la saba yalikuwa mazuri japo sikupangiwa kwenda shule maalumu.
Hivyo Mwalimu mkuu aliongea na mama angu ili anipeleke kwenye shule moja maarufu sana inayomilikiwa na kanisa, shule ambayo ina kila sifa nzuri kitaaluma lakini mzazi wangu alishindwa kutokana na hali duni ya kiuchumi licha ya kwamba kwenye michango huwa anachangia.
 
Hazisaidii wakristo maskini wasio na ada lakini tunachangishwa kuziendesha, tena kanisani hata hivyo sijaona zikishika nafasi za juu kabisa kitaifa. Je tuite watu wazifanyie maombi au tujitafakari aina ya wakufunzi waliopo na mazingira ya kujisomea.
 
Am not against the Church Sir,am questioning ,the Commercialization of Church to the expenses of the Poor and Humble Servanta of Jesus Christ!
Sasa kama unaona hupendezwi si utoke??!mijitu mingine hovyo sasa unawaambia din nyingine ili iwaje??πŸ™„πŸ™„πŸ™„ umasikini utawauwa nyie nyumbu, nenda kwenye din nyingine
 
Hali haipo tofauti pia ktk Hospitali za Kanisa,Waumini wengi hawana ubavu wa kuingia hospitali kadhaa za ambazo ni ghali.
Mmmh, hapa mazee umedanganya. Sioni tofauti ya gharama kati ya hospitali za kanisa na hospitali nyingine za private ownership, na kama tofauti ipo, basi ni kwa za kanisa kuwa cheaper. Wakati mwingine tuwe wakweli, tusiandike tu ili mradi tumeanzisha uzi
 
Mbona za serikali ni bure? Kwani lazima umpeleke huko kwenye awamu za malipo? Au alifeli? Ulalamikaji mwingine ni kipimo cha upeo wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…