Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

hii imekaa njema sana wasomi 💪
 
Swali la msingi ni kwanini mfungwa anagomea kula? Na suluhisho liweje? Hayo mengine uliyojiamulia kutafiti hayatolisaidia Taifa na yanadhihirisha kuwa you are a professorial rubbish!
 
Swali la msingi ni kwanini mfungwa anagomea kula? Na suluhisho liweje? Hayo mengine uliyojiamulia kutafiti hayatolisaidia Taifa na yanadhihirisha kuwa you are a professorial rubbish!
Anatafuta attention tu
 
Lakini Mwamba, jamaa anaweza akawa anakula kwa kificho! Mi simwamini kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…