Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Sema tu ukweli.

Alikujambia mpaka ukashiba ushuzi ukashindwa kwenda kumbandua.

Soda 19 ni balaa tu. Anacheua mdomoni na makalioni. Hahahaha
 
Bujibuji umenikumbusha kitambo hadi nimejihisi kutoka chozi. Ngwasuma ilikua imeeenea idara zote kaka. Hapo anaimbwa Julius Mzee wa Benki, Kapufi Mzee wa Mawe, Ndama mtoto wa Ng'ombe daaaaaaaah
Ile ilikuwa ni zaidi ya moto, weka mbali na watoto
 
Dah ila wewe mzee wewe🀣🀣
 
Kongole mzee yaani ww na shimba ya buyenze ni mizee kweli Ila mitandaoni mmo 🀣🀣 umeupiga mwingi Ila si una πŸ’° za kutosha sio
Cash ni kama tako, kila mtu analo. Mimi ni pensioner, nakula mafao yangu. Nina kuku, kondoo, bata, Ng'ombe, na mbuzi. Dada zenu na tudemu twenu wakiwa na uhitaji tunasaidiana. Unajua tena Ng'ombe huwa hazeeki maini.
 
Aaah hiyo ni moja ya fantasy yangu nikizeeka, Mimi Nina 20 nipo chuo first year na Bibi yangu pia ni mstaafu na yeye ni mfugaji wa kuku (hapo kwenye uhitaji wa tudemu vipi) ni shoo sio Tena unamkoromea kabisa ukimwagia Yale maji ya uzima 🀣🀣🀣🀣 kwani hukuoa mkuuu au wife alifariki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…