Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

Okay! Hivi sasa umefilisika mkuu au?! πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mimi ni mkulima na mfugaji, siwezi kulima nguo, au kufuga viatu. Lazima mazao yangu yaniletee vitu ambavyo mimi sina. (Wewe ni msomi, elewa lugha ya alama) Miongoni mwa zawadi ninazoletewa na maisha ya shamba, ni hizi pisi kali. Sio mbaya mara moja moja na mimi nikaonekana Akemi nikinywa Dom Perignon huku pembeni nina kisu kikali.
 
Yes papa mopao nimeelewa hiyo tafsida mkuu shukran
 
Basi ukifika dar unaanza kuhangaika na magumegume yanakusafisha hela za mauzo zote unarudi shamba mweupe mkuu πŸ˜‹πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo soda hazikuwa na gas?πŸ˜†πŸ˜†
 
Nyumbani ni jirani pale so muda mwingi tulikuwa tunapata burudani ya ngwasuma tukiwa vitandani tayari. Nakumbuka enzi za Marehemu Remi na ngoma zake za mbele kwa mbeleπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…