Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Hapa sasa itabidi upate majimama matatu humuhumu JF uwe unatumia hizo nguvu zako kwao. You'll thank me later na wao watafurahi sana! Nimuombe bwana Extrovert anisaidie kuwa-tag hapa tukurahisishie πππΎShida naona Nina nguvu za kiume unlimited mkuu nikikuelezea Mikasa yangu yaani daah sijui itakua hivi mpaka uzee au ni kwa muda tu, πππ nipo fresh class sema huku chini bwana looh
Bia unaenda kukojoa na kuendelea lakini soda mziki wake chooni hauendi na gas inajikusanya tu tumboni unabaki kubeua.Wee kwani bia na soda kipi kina gesi nyingi zaidi?
Usitamani wanawake. Ukiwatani wanawake watakutawala, utapoteza mwelekeo.Unanishaurije Kama kijana mbichi (anayependa mafanikio na kutamani wanawake kwa wakati mmoja πππ)
Ngwasuma ilikuwa inaisha saa nane au tisa, kisha tunahamia Maisha Club, au Club BillicanasMhusika hajaeleza muda halisi uliotumika kupukutisha hizo soda.
Pia uelewe kuwa, soda zinawiana na pombe namna zinavyochujwa mwilini.
Ukinywa soda kibofu kikafunguka, hata creti unalimaliza peke yako bila shida yoyote.
Hahaha Mimi sipendi zinaa au ngono sema yenyewe ndo inanifuata(kutokana na huku chini kuwaka moto) ndo maana nimesema hivyo najiona Kama Nina extra ordinary powers si exaggerate Ila namwombaga Mungu aniepushe na hili jangaHapa sasa itabidi upate majimama matatu humuhumu JF uwe unatumia hizo nguvu zako kwao. You'll thank me later na wao watafurahi sana! Nimuombe bwana Extrovert anisaidie kuwa-tag hapa tukurahisishie πππΎ
Asante mkuuUsitamani wanawake. Ukiwatani wanawake watakutawala, utapoteza mwelekeo.
Focus kwenye kujenga wealth, jilimbikizie mali. Utajiri una siri nyingi, miongoni mwao ni ubahili.
Mara mojamoja jiachie, na usizidishe kiwango ulichopanga kutumia . Mfano. Una USD. 100 umepanga ndio uitumie, hakikisha haiishi yote. Bakiza ya kuweka kwenye piggy bank.
Acha uzembe! Ngoja uungwe na Mijimama hapa ukayatoe stress na matandabui na wewe upate relief kijanaHahaha Mimi sipendi zinaa au ngono sema yenyewe ndo inanifuata(kutokana na huku chini kuwaka moto) ndo maana nimesema hivyo najiona Kama Nina extra ordinary powers si exaggerate Ila namwombaga Mungu aniepushe na hili janga
Dhibiti mihemko yako na tamaa zako za mwili. Umasikini huwapata watu wanaoshindwa kudhibiti hisia zao. Unapata 10,000/- hapo hapo unapata hamu ya bia. Utaendelea saa ngapi?Shida naona Nina nguvu za kiume unlimited mkuu nikikuelezea Mikasa yangu yaani daah sijui itakua hivi mpaka uzee au ni kwa muda tu, πππ nipo fresh class sema huku chini bwana looh
Kwa hiyo ni mbaya kwa mimi kusimulia my past?Yaan hatuamini kama ungeleta mada ya namna hii... tunakuheshimu sana bwana bujibuji π ila leo hapana
Nafuata ushauri wa mzee bujibuji amepitia mengi ngoja nitengeneze wealth yangu nijichallenge kuzuia hisia no way out ππAcha uzembe! Ngoja uungwe na Mijimama hapa ukayatoe stress na matandabui na wewe upate relief kijana
Nafuata ushauri wa mzee bujibuji amepitia mengi ngoja nitengeneze wealth yangu nijichallenge kuzuia hisia no way out ππ
Sio mbaya mkuu ila kuna watu mshajitengenezea profile ila ukiyumba kidogo lazima watu kuhadaika kidogo... anyways! Old is gold mzee wangu. πππΎKwa hiyo ni mbaya kwa mimi kusimulia my past?
Usijichue... shauri yakoNafuata ushauri wa mzee bujibuji amepitia mengi ngoja nitengeneze wealth yangu nijichallenge kuzuia hisia no way out ππ
Mhubiri 9:11 BHND
Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.
Nitapambana na mihemuko mpaka niishinde π€ | ||||
Asante mkuu π€Ίβ½Mhubiri 9:11 BHND
Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.
A very Good advice, physical and spiritual. Punyeto inakimbiza baraka na bahati. Ukimwaga mbegu zako kwa mikono yako, kila unalolifanya halitafanikiwa. Unaua mbegu kwa kuzimwaga chiniUsijichue... shauri yako
Bahati, baraka na kibali ni muhimu sana ilinufanikiweAsante mkuu π€Ίβ½
Fanya mazoezi ya viungo, fanya meditation π§ββοΈ, andika mawazo yako kwenye counter book, yasome tena na tena. Utakuja kunishukuru baadae
Nitapambana na mihemuko mpaka niishinde π€