Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa


😂😂😂😂
 

😂😂😂😂
 
First date kuja mashoga zakee ni dalili za kukudhara unless yawe ni makubaliano yenu
Endelea kutongoza mkuu,,utakutana na vingi,,
Sometimes mwanamke anaingia woga Kwa mwanaume hamjuwi,, sometimes analeta shoga zake wakufanyie valuation kama unafaa au hamnazo..
Usikariri mkuu , utakuja kukosa mtoto wa maana sababu ya experience ya watu wengine..
 
Mwanamke mwenye heshima hawezi kukukomoa bila hata kujali una kiasi gani mwanamke anayefanya hivyo ni yule ambaye hajakukubali kabisa ni sawa na leo hii unaenda kuomba namba ya mwanamke anakwambia bila elfu 20 au 30 hakupi namba yake sasa hapo unaona una nafasi hapo??
 
Nafasi ipo sana tu mkuu,, sometimes anakufanyia tathmini Je mtawezana?
Au ukiombwa 10k utazima simu?au una uwezo wa kutoa?
 
Bora nomkose huyo mwenye Tabia za kiswazi asiye na staha
 
Mkuu usibishe mbona mie nimeenda date nyingi na Wala sijawahi kukutana na huo ujinga na wengine walikuwa ni wanachuo mwamba hajapendwa huyo haina tofauti na mwanamke ambaye unaomba namba yake ya simu anakuambia bila elfu 20 hakupi wakati kwa wanaume wengine kwa huyo huyo mwanamke wanapewa bure
 
Ukiona huwez kutumia gharama kumpata mwanamke achana na wanawake focus na kulialia
Mimi nimepata wanawake wengi tena wakali bila hata gharama kubwa mwanamke akikuelewa hutumii nguvu kubwa. Ukiwa una haraka ya kuichapa bila kutengeneza mazingira ndio maana mnaingia gharama kubwa na wengine ni shobo zao wenyewe ili aonekane ni Gentleman wakati kiuhalisia huyo mwanamke sio hiyo gharama
 
Shida una haraka na huyo mwanamke ndio maana unatumia gharama kubwa ila mwanamke ukiwa hauna haraka nae na ukamtengenezea mazingira mazuri ili kumfanya awe comfortable na wewe huwezi kutumia hizo gharama kubwa ni vile tu mnakaza fuvu ndio maana mnaangukia kwa wadangaji halafu mnajiita mna mademu. Mwanzoni mwa mahusiano yenu ndio yanadetermine mtaishi mahusiano ya namna gani ili lazima ujue ukimzoesha mwanamke pesa mwanzoni kabisa kuanzia date yenu mpaka kwenye mahusiano ya mwanzoni ndivyo huyo mwanamke atakuwa hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…