Umesema sahihi MkuuMwanamke mwenye heshima hawezi kukukomoa bila hata kujali una kiasi gani mwanamke anayefanya hivyo ni yule ambaye hajakukubali kabisa ni sawa na leo hii unaenda kuomba namba ya mwanamke anakwambia bila elfu 20 au 30 hakupi namba yake sasa hapo unaona una nafasi hapo??
Kuna tofauti kubwa ya mwanamke mwenye njaa na yule ambaye anasehemu ya kumuingizia pesa. Mwenye njaa huwa Hana mapenzi ya kweli utaombwa kila kitu lakini mwanamke mwenye heshima na ambaye anajimudu utaombwa tu akiwa ana shida ambayo kwa uwezo wake ameshindwaUmesema sahihi Mkuu
Lakini hao wanawake wasioomba pesa/maisha wako wapi hapa Tanzania?
Hujasikia vilio kila Kona kutoka kwa vijana wa Kiume
Unakutana na binti, bajeti yake ya saluni tu ni zaidi ya 300,000
Maua mengine yana nuksi. Mengine yanawasha na mengine yananuka.Ukipenda boga ni lazma upende na ua lake babu.....
Marinda ya huyo mdada yalibaki salama kweli 🤔 mwandendeNilimnyatia hadi akaingia kingi..nikajilipa gharama zngu...
Babe tukapumzike 😉 Serankuna vijana ukinywa hata beer yake tu anaanza kukuita babe tukapumzike😎
Mnasemaga ivo kama hamjavutiwa na muonekano wa mwanaume husika 😁Aisee siwezi huo usengerema! Beer yako nakulipa napita hivi..
Mnakuwaga wangapi? Ushapata wangapi so far mpaka akili yako inakutuma watu wanatoa papuchi kisa muonekano?Mnasemaga ivo kama hamjavutiwa na muonekano wa mwanaume husika 😁
Mkimtamani mwanaume, mnakua walaini kutoa papuchi kuliko tishu iliowekwa kwenye maji Seran
Yan wew unasubiri mwanamke akuelewe ndio ulale nae? Haupo seriousMimi nimepata wanawake wengi tena wakali bila hata gharama kubwa mwanamke akikuelewa hutumii nguvu kubwa. Ukiwa una haraka ya kuichapa bila kutengeneza mazingira ndio maana mnaingia gharama kubwa na wengine ni shobo zao wenyewe ili aonekane ni Gentleman wakati kiuhalisia huyo mwanamke sio hiyo gharama
Nimeona Uzi wa kamdinyo akijisifu kwamba amekuramba zote na huo ushamba wako.Niaje wakuu?
Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni.
Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa, hapana! Tatizo langu lilianza pale nilipoamua kufanya majaribio ya kutongoza mtoto wa mtu mjini hapa
Zamani nilikuwa najiambia, "Mimi ni mwanaume, lazima nionyeshe msisimko wa mfuko." Nikajifanya mwamba. Nikakutana na binti mmoja mrembo ambaye picha zake za mitandaoni zinasema kabisa yeye ni wa hadhi ya juu.
Ili nionekane najiweza, nikamualika mtoko wa kwanza (first date). Kilichofuata kilikuwa ni somo la maisha ambalo sitasahau.
Siku ya miadi, binti alikuja. Lakini hakuja peke yake; alikuja na "mashoga zake wawili" ambao walikuwa na njaa kama wametoka vitani.
Tulipofika sehemu ya chakula, mimi nilitegemea tutaagiza vitu vya kawaida tu vya kueleweka. Lakini wapi! Walianza kutaja majina ya vyakula vya Kizungu ambavyo hata kuvitamka siwezi, pamoja na vinywaji vinavyoletwa vikiwa vimepambwa kwa matunda na maua juu yake.
Kila agizo lilipotua mezani, nilikuwa napiga hesabu ya haraka haraka kichwani. Jasho jembamba lilianza kunitoka chini ya kiyoyozi. Wakati bili inakuja, macho yangu yaliona ukungu. Kiasi kilichopo kwenye ile karatasi kilikuwa kirefu kuliko bajeti yangu ya mwezi mzima!
Ili kulinda heshima yangu na isionekane nimeishiwa, ilibidi nianze kufanya sarakasi za kukopa kwa dharura kwenye vikundi na App za mikopo ya haraka huku nikiwa nimejifungia chooni.
Nililipa ile bili kwa uchungu mkubwa, nikawalipia na usafiri wa kurudi kwao, kisha nami nikarudi kwangu nikiwa mnyonge kama kuku aliyenyeshewa mvua.😁
Kufika nyumbani, nikajisemea "Inatosha." Kesho yake binti akanitumia meseji: "Asante kwa jana dear,tulienjoy sana. Wikiend hii tunaenda wapi tena?" Nilichofanya ni kuifuta ile namba, kisha nikakaa chini na kutafakari maisha yangu
Niliamua kuchukua uamuzi mgumu lakini wa busara kwa usalama wa akili yangu na pochi yangu. Kuanzia leo, nimejitoa rasmi kwenye mashindano ya kutafuta mapenzi ya gharama.
Akili yangu yote sasa hivi nimeielekeza kwenye kutafuta pesa na kujenga maisha yangu kwanza.
Ulienda hadi chooni na ukarudi? We kweli jauIli kulinda heshima yangu na isionekane nimeishiwa, ilibidi nianze kufanya sarakasi za kukopa kwa dharura kwenye vikundi na App za mikopo ya haraka huku nikiwa nimejifungia chooni.
Kwahiyo mnaandamana wanetu! 😎
Mwanafunzi wa msingi au upili?Ni vyema uache kabisa kuna mmoja juzi nimemchomoa kwenye msala baada ya kumtongoza mtoto wa shule , baba mlezi akanyaka simu ya mtoto na kukuta meseji wa jamaa anavyojibebisha ,wakamtimbia na wahuni hadi eneo la kazini kwake mtu mzima amekula vitasa shindili wanataka milion tano na jamaa hana mpaka mwisho game ilitamatika kwa kumtoa milion moja na laki nane kwa msaada wa mwenhekiti na wazee waliomuombea msamaha
Na tunataka Jagermasta kubwa na mguu wa mbuzi 🤣🤣Mwambie shemeji hatujala tuko sita🤣👋🏼
Mbuzi nusu paja, asisahau ice😎Na tunataka Jagermasta kubwa na mguu wa mbuzi 🤣🤣
Inategemea na uhitaji wako kwa huyo mwanamke je ni kwaajili ya kumla au kuanzisha mahusianoYan wew unasubiri mwanamke akuelewe ndio ulale nae? Haupo serious
Pesa ina kazi nyingi mojawapo ni kurahisisha mambo. Sio kila mwanamke atakuelewa hata uwe na sifa gani ila ukitumia pesa unaongeza chances za kulala nae from 1%-99%.
Mwisho wa siku kila mtu na priorities zake.