Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Mmmh, hakuna kushawishi siku hizi, kama bado unatumia nguvu nyingi kushawishi ili avue basi kuna shida mahali. Soma.mchezo, ukiona ni hard to get achana nae, mambo ya kushawishi tulifanya sisi in early 2000 huko.
Hata Mimi mwenyewe nashangaa kipindi hiki ukiona demu haelekei achana nae tofauti na hapo utaenda kulia huko na bahati nzuri wakati wasasa demu kama hakuelewi anakuonesha kabisa ni wewe tu uamue ukaze fuvu
 
Dawa nzuri sana
 
Ukiona unatumia gharama kubwa kumpata mwanamke inabidi ujitafakari mara mbili mbili
 
Mbona wengine hatujakutana na hiki kitu nafikiri huyo manzi hajampenda huyo mshikaji, Mwanamke ambaye anakupenda hawezi kufanya hichi na hata yule anaweza hajakupenda lakini anakupa nafasi ya wewe kumshawishi pia hawezi kufanya hivi, wanaofanyiwa hivyo ni wale ambao hawana nafasi kabisa
 
Naona naye amepandisha uzi mkuu, kasema hautakaa urudie tenaa!!😀😀

 
Jamaa kajitambulisha ni msukuma?
 
Mkuu wanawake wapo wa aina nyingi sn,,
The more unatongoza the more you experience tabia za wanawake,,
Endelea kutongoza utakutana na vikwazo vya wanawake vya kila aina..
Kuna wanaume hawajakutana na mwanamke bikra mwenye 30 ages,,ila wapo so ,huwezikusema bikra hakuna kwa umri zaidi ya 30..
Pambania ulichokutana nacho,,mimi nishakutana nazo sn tu,,ila sababu ni mkora kwenye sekta hyo nilipata ushindi pamoja na kuja na mashoga zake kwenye on first date.
 
Mwanamke anayekupenda hawezi kukufanyia hivyo hata kidogo ukiona unatumia nguvu kubwa kumpata tena kwa gharama ujue huyo sio kwaajili yako hata kama utanikiwa kuwa hautakuwa mwenyewe
Mkuu kama unasubiri mwanamke akupende basi unasafari ndefu sana kwenye mapenzi..
Lazima uelewe mwanamke anaweza akavutiwa na wewe at first sight lakini akawa hakupendi,,
Mwanamke kukupenda ni kuufunguwa moyo wke kwnz kwa kumshawishi..pia mwanamke anaweza akavutiwa na wewe ila wewe hujavutiwa nae,na anaweza ukampenda ila yeye akawa hajavutiwa nawewe..

Ndy hapo unatumia formula ya money bring a woman, a woman bring love...
Kipepeo hafati majani makuvu mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…