Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

Ulifanya makosa,kukimbia,tena ukakimbilia kaunta ambako kuna pesa za mauzo,kosa kubwa hilo.Yawezekana walifikiri unaenda kutorosha pesa,kuchukua silaha au kuwajulisha wana usalama waje wadili nao.Pole sana.
 
Kiwewe, mimi jamaa waliingia bar baada ya kufumua risasi kadhaa hewani nikakimbilia store wanakohifadhi makreti, jamaa mmoja akanifuata akakuta nishafunga komeo kwa ndani anaita nimfungulie wkt huo nishaingia nyuma ya makreti.

Imagine hiyo bar haina fensi lkn kwa kuwa nilikuwa krb na mlango wa store niliona ndio safe.
Imagine angevunja huo mlango[emoji23],
 
Ulifanya makosa,kukimbia,tena ukakimbilia kaunta ambako kuna pesa za mauzo,kosa kubwa hilo.Yawezekana walifikiri unaenda kutorosha pesa,kuchukua silaha au kuwajulisha wana usalama waje wadili nao.Pole sana.
Yani hata sikuwaza hivyo mimi nilikua naokoa maisha yangu..
 
Ilikua 2009 nikiwa Congo Eneo la Goma pembeni ya ilipojengwa ihusi hotel palikua na kiwanja kimoja hivi, tumeanza kupiga maji na akina Bisima, mara paaa waasi hao hapa, haikua na jinsi humo kulikua na staff wa UN kibao, wafanyabiashara na waganga njaa kama sisi, ubishi ubishi wakanikata panga mguu wa kushoto hadi mfupa nikausikia hadi leo nina kovu kubwa sana , jamaa aliekua rafiki yake bisima aliitwa Daniel alipigwa risasi ya kifuani alianguka namuona kabisa akafia pale pale, wale wajeshi waliokua nje kuwalinda mabosi wao walitokomea, nilikuja kuzinduka nakujielewa vizuri nipo upande wa rwanda dispensary, sitosahau tukio lile kwani lilibadilisha maisha yangu jumla na kuniacha na maumivu makubwa sana

Pole sana
 
Mimi ishawahi kunitokea aisee sema nilipambana nao wote na walikua kama tisa hivinikafanikiwa kuua wa 5 wengine wakakimbia...Nikipata muda ntaelezea
Dah! Ulikua na ujasiri sana aiseeh!
 
Back
Top Bottom