Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine angevunja huo mlango[emoji23],Kiwewe, mimi jamaa waliingia bar baada ya kufumua risasi kadhaa hewani nikakimbilia store wanakohifadhi makreti, jamaa mmoja akanifuata akakuta nishafunga komeo kwa ndani anaita nimfungulie wkt huo nishaingia nyuma ya makreti.
Imagine hiyo bar haina fensi lkn kwa kuwa nilikuwa krb na mlango wa store niliona ndio safe.
Dah! Hahahaa...Ungepigwa tu maana pombe ni dhambi
Angekuwa marehemu sasa..Imagine angevunja huo mlango[emoji23],
Yani hata sikuwaza hivyo mimi nilikua naokoa maisha yangu..Ulifanya makosa,kukimbia,tena ukakimbilia kaunta ambako kuna pesa za mauzo,kosa kubwa hilo.Yawezekana walifikiri unaenda kutorosha pesa,kuchukua silaha au kuwajulisha wana usalama waje wadili nao.Pole sana.
Hahahaa amefanyeje huyo 🤣🤣🤣
Si ukaamua kutuchanganya huku na kuleHahahaa amefanyeje huyo 🤣🤣🤣
hii ni chai 😬
kama ulikuw kweny akili yangu 🤣Si ukaamua kutuchanganya huku na kule
Shii...Watanipiga ban tena kausha 🤣🤣🤣Si ukaamua kutuchanganya huku na kule
Sawa kama ni chai itakua ya upupu naona umekunywa sasa inakuwasha 🤣🤣hii ni chai 😬
Hahahaa kwamba ulitaka kusema 🤣🤣kama ulikuw kweny akili yangu 🤣
kule upewe platinum member ili ma mods wasikupige ban ila unazingua kuiba story yetu🤣 ya chaiShii...Watanipiga ban tena kausha 🤣🤣🤣
Wapi huko nipewe Plutnum member, I only know jamii forums and that what’s up!kule upewe platinum member ili ma mods wasikupige ban ila unazingua kuiba story yetu🤣 ya chai
Ilikua 2009 nikiwa Congo Eneo la Goma pembeni ya ilipojengwa ihusi hotel palikua na kiwanja kimoja hivi, tumeanza kupiga maji na akina Bisima, mara paaa waasi hao hapa, haikua na jinsi humo kulikua na staff wa UN kibao, wafanyabiashara na waganga njaa kama sisi, ubishi ubishi wakanikata panga mguu wa kushoto hadi mfupa nikausikia hadi leo nina kovu kubwa sana , jamaa aliekua rafiki yake bisima aliitwa Daniel alipigwa risasi ya kifuani alianguka namuona kabisa akafia pale pale, wale wajeshi waliokua nje kuwalinda mabosi wao walitokomea, nilikuja kuzinduka nakujielewa vizuri nipo upande wa rwanda dispensary, sitosahau tukio lile kwani lilibadilisha maisha yangu jumla na kuniacha na maumivu makubwa sana
Dah! Ulikua na ujasiri sana aiseeh!Mimi ishawahi kunitokea aisee sema nilipambana nao wote na walikua kama tisa hivinikafanikiwa kuua wa 5 wengine wakakimbia...Nikipata muda ntaelezea
Hawatishi ni zile bunduki tu ndio zinawabeba Wakishapotez mtutu then mkawaweka Kati wote wanalia na kuomba MAJI.Hatari sana jamaa wanatisha sana..