Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
kama mwanao analiwa au ndugu yako aliliwa ni wewe ..subiri utakapozeeka na kuugua unahitaji msaada wa kukualisha hata taulo unaanza kuita watoto wa kiume wa ndugu zako huku hao mabinti waki sema nimoelewa siwezi acha mume wangu atapikiwa na nan, fucvk you wewe na kizazi chako
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Jamaa ana kitu cha msingi asipuuzwe,

Ni kweli watoto wa kike wana show love Sana kwa baba..

Mtoto wa kiume ni wa mama..
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unazaa watoto kwa lengo la kuja kukusaidia?? Wew mwenyewe umeshindwa kujiwezeshaa unataka kuwatupia watoto mzigo..
 
Kwani mkuu watoto tunawazaa kwa lengo gani?
Hatuzai watoto ili tujaze ulimwengu,
Tunahitaji watoto ili watusaidie baadae.

Kuna muda utafikia hata pesa Zako haziwezi kukusaidia,
Utahitaji watoto wako wakufariji na kikuangalia kwa karibu..
Watoto wa kike wanajali Sana baba zao,,kuliko watoto wa kiume.
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Tuanzie kwako, WEWE NI KISANGA SANA KWA BABAAKO..!!? WEWE UNALIWA..!!?
Nasubiri majibu.
 
Mkuu wewe ni mbinafsi sana, alafu pia ni mkwepa majukumu.

Pole sana Mkuu.
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Hata wewe ni mtoto wa kiume, unaliwa?
 
hujui unacho kiomba mkuu, asilimia kubwa ya wazazi wenye watoto mashoga wanasema walikuwa wanaomba Mungu awape " mtoto wa kike' pindi walipokuwa wajawazito. So kwa sababu wewe unataka watoto wa kike tu, watoto wote wa kiume ambao dunia imepanga kukupa itawageuza na watakuwa mashoga.
 
Back
Top Bottom