Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Mkuu Sasa kama wote tutapenda watoto wa kike huoni kutakuwa na kusagana Tena??
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
KWA MTU MWENYE MAARIFA KUNA HOJA NYINGINE NI VERY PERSONAL HATA ZIKIMJIA KICHWANI HAWEZI KUZIWEKA HUKU MITANADAONI, shame!!!
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Ukizeeka utaenda kuishi kwa wakwe zako kwa zamu, mwezi huu Tanga, mwezi ujao Mtwara.
 
Utabakia peke yako na wakati huo ujue wewe ni mzee unahitaji msaada wa hali na mali. Au una mpago wa kufa mapema around 60's?
Nitabaki na mke wangu na mabinti kangu kamoja kakunilea😁
 
Ahaahaaa! Unafikiri huyo binti yako atabaki kuwa ka-binti miaka 20 ijayo? Atakuwa mtu mzima na atakuwa yupo kwa mme wake. Mke wako vilevile lolote laweza kutokea, kufariki, kuugua, kuondoka, etc. Kwa kifupi hakuna jambo baya kama upweke uzeeni! Kumbuka nguvu za kufanya kazi zimeisha, ujasiri wa kukaa peke yako umekwisha, kuna magonjwa mengi uzeeni, mtu unakuwa kama mtoto mdogo, unahitaji watu tena wengi na wanaokujali sana (ni watoto wako tu wanaweza hili; tena waliolelewa vyema!). Nina uzoefu wa kuona wazee wengi ninapoishi jinsi wanavyoteseka na kuishi kimaskini na kwa upweke mbaya. Utakapogundua umuhimu wa watoto wa kiume ni wakati una miaka 60 na kuendelea. Hata kama utakuwa na pesa, pesa na upweke ni mateso tupu.
 
Ahaahaaa! Unafikiri huyo binti yako atabaki kuwa ka-binti miaka 20 ijayo? Atakuwa mtu mzima na atakuwa yupo kwa mme wake. Mke wako vilevile lolote laweza kutokea, kufariki, kuugua, kuondoka, etc. Kwa kifupi hakuna jambo baya kama upweke uzeeni! Kumbuka nguvu za kufanya kazi zimeisha, ujasiri wa kukaa peke yako umekwisha, kuna magonjwa mengi uzeeni, mtu unakuwa kama mtoto mdogo, unahitaji watu tena wengi na wanaokujali sana (ni watoto wake tu wanaweza hili; tena waliolelewa vyema!). Nina uzoefu wa kuona wazee wengi ninapoishi jinsi wanavyoteseka na kuishi kimaskini na kwa upweke mbaya. Utakapogundua umuhimu wa watoto wa kiume ni wakati una miaka 60 na kuendelea. Hata kama utakuwa na pesa, pesa na upweke ni mateso tupu.
Nimekulewa mkuu Ila ata sis watoto wa kiume tunazingua tu,nishajiandaa kwa lolote ivo Sina chakujutia
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Kweli mawazo yako na yeyote yaheshimiwe, ila sijui unachagua aje mtoto utakayemzaa hata muanze kugombana na mkeo, au unapodai "mnaopenda watoto wa kiume , kila mtu ana maamuzi yake".
 
Kweli mawazo yako na yeyote yaheshimiwe, ila sijui unachagua aje mtoto utakayemzaa hata muanze kugombana na mkeo.
Kama itatokea tofauti it's okay,cna jinsi kulea sababu damu yangu
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Kama kweli wewe ni mwanaume basi mwenye hayo maamzi ya kuzaa either mtoto wa kike ni wewe mwenyewe wala siyo mke wako au Mungu wako. Nakukumbusha tu wewe unazo sex chromosomes mbili tofauti ambazo ni XY, na mke wako anazo chromosomes mbili za kufanana, ambazo ni XX, hivyo bac kazi ni kwako
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Unaweza ukawakataa watoto wa kiume halafu watu wakanyooka hata na wewe
 
Back
Top Bottom