Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

Upumbavu utawaisha lini ninyi watanzania

Hayo Mambo yanakua overrated sana na Wala si kitu kigeni yapo kwa karne na karne

Si rahisi mtu kuwa shoga ikiwa hajazaliwa na ulemavu wa hormones Ni ngumu mno

Wala hicho sio kigezo kabisa cha kutokupenda watoto wa kiume
Mawazo yangu yaheshimiwe mkuu
Siwahitaji kwa sasa
 
Mkuu ni kuomba mungu tu ,hata hao wakike mungu akikuangaza itakuwa mtihaani ,maana anaweza akawa msagaji n.k mpaka uso wako pakuweka ukakosa ,Kubwa Ni kumkabidhi mungu katika malezi ya watoto wetu
Mtoto wa kike anavaa kuliko dume na anatembea kuliko dume.
 
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.

Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.

Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.

Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over

Mawazo ya mtu yaheshimiwe..

Kumbe watoto nao wanaoa na kuwa na watoto, maana ulichoandika mtoto wangu wa 12 years hawezi andika
 
Back
Top Bottom