Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Mara unajiweza mara shkamooni mie mpweke 👹👹👺👺Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Kujiweza nnMara unajiweza mara shkamooni mie mpweke 👹👹👺👺
Kuweza nnUko wap? mimi niko shy je unaweza
Kudadek Mali mbichi kbc hii arf unasema hutaki Nini😃
Kazi na dawa katkat ya biashara lazima penzi lichanueHataki mapenzi, Anataka biashara
Kwaiyo apoo mkuu anakuwa anatmbeza au vip apoo mkuuBiashara ya nguo za kike itakulipa,
Unge-relax kwanza kidogo kabla ya kukupa ushauri utuambie wewe una ushauri gani kuhusu wewe mwenyeweNaombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Njoo pm pleaseSina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Usiku wote huu nikajua nitakuwa mwenyewe.Njoo pm please
Lisa aaliyepoaNina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka Jana
"Wewe ndoa yako ni kama TikTok trend, zinapanda haraka halafu zinadrop kabla watu hawajazoea." 😏Nina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka Jana