Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Wapi Lissu ameomba kuchangiwa gari?
 
Hata likipaki nyumbani kwake ni kumbukumbu tosha watu wataenda Ikungi kuchota Baraka za Unabii 😂😂😂

Watu wanaenda Chato/Pemba kaburini itakuwa hapo Ikungi Makumbusho? 😂😂😂
 
Relax.
 
CCM imeoza sana, yani ni kuwa haifai kabisa kushika dola tena. Miaka 45+ ya ccm inatosha kabisa coz hawana jipya tena, wamekalia ufisadi tu na kuhujumu uchumi.

Swali, badala ya ccm ni yupi hasa yupo tayari, mbona sioni..? .naona ushubwada tu huko chama kikuu cha upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…