Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Well Noted Mkuu
 
Nimeongea ukweli wangu ninaouamini
Siunajua chadema ni watu wa hasira! Basi wamenimalizia mimi😂
Kwanini mkiandika ujinga mkajibiwa sawasawa na ujinga mlioandika mnasema CDM ni watu wa hasira? We uliandika nini cha kupendeza kwa ile comment?

Ulitaka uambiwe nini? Bwana aisifiwe au? Vumilia hili ndio jukwaa la siasa sio MMU.
 
Mkuu hapo mwishoni umepita kama Pac kwenye Hit Em Up 😁

Yes pac line hiyo na nyingine ya camron.

Camron na yeye 2005 alipigwa risasi na gang ya Jay-Z wakataka wampore lamborghini yake ambayo anasema "They mad my car is like an elephant the trunk in the front"

"Feel like pac i know it set up ,'em old niqqa think im about to take their spot" - Camron (Old niqqa ni Jay-Z)

Cc: Killa Cam
 
Linatengenezeka ila nimuhimu likatunzwa kwaajili ya kimbukumbu
 
We lazima utakuwa mchawi
 
Dr wa chuo gani wewe? tumesema tunaiweka kwenye museum kama ilivyo, sasa unaitengeneza tena? Dr wa chuo gani?
Hakuna masikini anyelazimishwa, wewe Dr wa chuo gani? Unapowakamua masikini lita tsh 3,400 ya petrol mbona hujalisema hilo ambalo linagusa na kuwakamua masikini 60 millions?

Hii ni hiari, kama wewe ni masikini usitoe.

WEWE NI DR WA WAPI? CHUO GANI?
 
Wanaomchangia samia sio vijana maskini ila ni hao wanaotaka teuzi, tena wamefanya kwa hiari yao

Ila Chadema wanaforce wapewe michango na watu wa vipato vyote
Hapo umenielewa Mzee?
Wapi wamelazimisha? Huu ushabiki wa vyama usikutoe ubinadamu,nina uhakika Lissu angekuwa mwanaccm usingekuwa na mtazamo huu. Ubinadamu kwanza,vyama vitapita lakini Tanzania itaendelea kudumu.
 
Wapi wamelazimisha? Huu ushabiki wa vyama usikutoe ubinadamu,nina uhakika Lissu angekuwa mwanaccm usingekuwa na mtazamo huu. Ubinadamu kwanza,vyama vitapita lakini Tanzania itaendelea kudumu.
Mimi sina chama
Nasema ninachoona ni sahihi kwangu
 
Ni mwalimu wa UDSM 🐼
 
Hapo kwenye kutokuwa na chama unaweza usiwe mwanachama lakini unashabikia CCM maandiko yako humu yanakuelezea hivyo
Maandiko yangu kwenye uzi huu umekuonyesha nashabikia ccm lakini unaweza kufatilia nyuzi za nyuma na ukadhani nashabikia Chadema

Sina timu nasema ukweli wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…