Siyo siri Rais Samia alianza vizuri, sasa analikoroga

Kwanza kabisa IGA ni sheria ndio mantiki ya kufanya ratification/domestication swala ambalo huyo Mwabukusi hajui kwamba hiyo IGA ishakuwa domesticated.

Pili sheria aiwezi kwenda kinyume na katiba sio sheria nyingine iliyopo. Kwa kanuni za ‘constitution theory’ on ‘implied repeal rule’ sheria zote kutoka bungeni ni sawa kwa hivyo kilichomo kwenye sheria mpya kama kina kinzana na sheria iliyopo; kilichoelezwa kwenye sheria mpya kina replace sheria ya awali ndio maana wanafanya amendements.

Gharama za kesi zinachangishwa kupitia platform gani ya wananchi?
 
Na kaendelea ata kama kupinga bandari.
Nani anayepinga bandari? Au umepitiwa kuandika hivi?
wabaki kwenye mipaka ya hoja za siasa,
Hivi hoja za kisiasa zikoje kweli?
unaposema utafanya njama nchi isitawalike kisa bandari hapo sasa unanunua ugomvi na polisi hiyo ndio kauli yake.
Sijui hata kama unajua umeandika nini!

By the way, ni nani huyu aliyesema "nitafanya njama nchi isitawalike?"
Unaweza kuthibitisha hili hapa kwa maneno ya sauti au maandishi ya huyo mtu aliyesema hivi?
 
Wakuthibitisha polisi wao ndio waliowakamata na wenye evidence.

The burden of proof hipo kwa polisi sio mimi ninae rudia kauli ambayo hipo kwenye public domain sababu za kuwakamata.
 
Nyamaza hujui kitu. Mama anafanya vizuri kabisa. Watanzania tunamuombea adumu mpaka 2035 na ikipendeza tutabadili katiba ili atawale mpaka atakaposema kachoka mwenyewe.

Ukiwa kiongozi lazima ukosolewe hata kama unaongoza jumuiya yenye kaya 10 tu, kila kitu utatupiwa hivyo mtangulize MUNGU hekima iwe juu yako lah utagubikwa na hasira kisha maamuzi ya hovyo yatafuata. Level ya Urais lazima ukubali kila aina ya lawama na maneno mana huongozi kundi la mifugo unaongoza waja wa Mwenyezi MUNGU.
 
Kwa sasa CCM imejaa vhawa, vikaragosi wasio fikiri.
Hata Chongolo alianza kuwatukana watu waliohoji DPW, mpaka pale Kinana alivyowagutusha kuwa si kila anayehoji ana nia mbaya.

Kwa kifupi CCM imeshapigwa shoti(short circuited), yenyewe inapitisha tu umememe.
 
Amerogwa sio bure, may be ndo maana wenye akili kubwa kipindi kile hawakutaka awe Rais
 
Msilete dharau Kwa Kiongozi
Mkuu labda wachawa wake ndio wanamdharau maana wanasema Samia ana shauriwa vibaya na hii ina maana kwamba tuna rais ambaye hajui baya wala zuri kila anachoambiwa anakubali tu.
 
Wakuthibitisha polisi wao ndio waliowakamata na wenye evidence.

The burden of proof hipo kwa polisi sio mimi ninae rudia kauli ambayo hipo kwenye public domain sababu za kuwakamata.
Achana na mambo ya polisi.!!

Mimi niko na wewe na ulichoandika mwenyewe, kuwa "kuna watu wanapinga bandari". Sasa Maswali kwako ni;

A: = Bandari inaweza kupingwaje?

= Na ninachofahamu mimi au wengine ni kuwa, kinachopingwa si bandari as an object bali kipingwacho ni mkataba/makubaliano ya kukodisha?kuuza?kugawa bandari za Tanganyika za bahari kuu na maziwa makuu

= Je, na wewe unaelewa hivyo pia?

B: Kingine umesema Kuna watu hawazungumzi bandari kwa hoja za kisiasa badala yake "wanafanya/zungumza njama ili nchi isitawalike". Maswali kwako ni;

= Hoja za kisiasa wanazopaswa kuzizungumza zikoje kweli?

= Umewasikia polisi ndiyo wakisema hivi au ni wewe tu umeamua kuripoti hivi? Na Je, ushahidi wa maneno Kwa sauti au maandishi hawa wakizungumza nchi isitawalike?

Ni hayo tu. Sina mengine..
 
Unasikiliza sana habari za mitandaoni huku ushawishi ni mwenye wachangiaji wengi na kueleweka na wengi lakini aina maana ndio uhalisia.

Huyo Tundu Lissu mwenyewe amewahi kusema hiyo IGA ishakuwa sheria hakuna kinachoweza badilika kwa sasa na mahakama aina mamlaka hayo.

Kinana alienda na upepo tu kwa hatua za IGA ilipo ni bunge tu inaweza fanya amendments, but then on what maana kama ilivyo aina shida na mikataba ya kibiashara bado.

Tatizo ni kwamba watu hawana imani na serikali lakini kwenye IGA ni wa kweli aina shida yoyote, shida ipo kwa watu mlioamua kuamini bandari zote zimeuzwa, kwa muda usio na kikomo, tutashitakiwa SA (hili kweli ila ni nadra sana kukuta uwekezaji mkubwa wa nje ya nchi ambacho hakuna kipengele cha dispute resolution through neutral ground), kwa wanaosoma mambo ya mikataba hiyo ni aspect ya stabilisation clause.

Shida sio serikali, shida ni watu mliokubali kupotoshwa; halafu mnalazimisha serikali icheze mziki wenu ata baada ya kupewa elimu ya kina.
 
Thibitisha hayo madai yako yameelezwa wapi kwenye IGA.

Sio unaokota mambo kwenye midomo ya watu au thread za JF zinazo lalama tu bila ya ushahidi na wewe una amini ndio ukweli wenyewe.

Wote mnaopinga IGA mnaburuzwa tu na madai ya uongo ambayo uwezi thibitisha yote hayo uliyoeleza kwa ushahidi.
 
Mkuu siasa hatufundishani mitandaoni, siasa ni hisia, ni maslahi ni madaraka.
Sasa ukitukanwa basi unakimbilia bunduki ujue siasa huiwezi.
Namkumbuka Mwalimu, aliweza kuwatukana hata wakoloni, nao walimwelewa fika.
 
Mi nashauri ukijua huyu ni mke au mtoto wa polisi au ni mwana ccm au watu wa mahakama ni kuwawekea sumu kwenye migahawa au bar mpaka waanze kujifungia makwao
Hatujafika huko mkuu, bado nchi hii ni y amani.
Watoto wa polisi na watoto wetu wana soma pamoja na hao baba zao tunasali/tunaswali pamoja.
Tuombe tu Mungu atuepushe na huu mfarakano ambao utaisha tu, kama mingine ilivyoisha.
Huwezi amini, nchi hii inaitwa Tanzania, Mungu naipenda sana.(Wimbo wa Taifa)
Yeyote anayeenda tofauti na kiapo cha wimbo wa Taifa, atajizolea mambo ambayo hayajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…