Siyo siri Rais Samia alianza vizuri, sasa analikoroga

Mkuu sisa hatufundishani mitandaoni, siasa nihisia, ni maslahi ni madaraka.
Sasa ukitukanwa basi unakimbilia bunduki ujue siasa huiwezi.
Namkumbuka Mwalimu, aliweza kuwatukana hata wakoloni, nao walimwelewa fika.
Nani kapigwa bunduki kwa sababu ya siasa. Ukihamasisha fujo hizo sio siasa utashugulikiwa na polisi popote si hata Donald Trump amefunguliwa charges hizo US.

Ukiingilia national interest issues kwa lengo la sabotage utashughulikiwa popote duniani.

Ebu fuatilia siasa za Lissu leo; keshaelewa ukin’gatwa na nyoka, nyasi zikitikisika tu unastuka. Siku hizi karudi kwenye porojo tu anajua mipaka yake.

Lissu mwenyewe kwenye hilo group la kina Dr Slaa kuna siku aliingia wakati wanapanga mipango yao, akawaambia ukweli hampo realistic wacha wamrarue baada ya hapo akawapotezea na kukaa nao mbali.

Shida sio kukoselewa, isipokuwa watu kushindwa kuelewa mipaka, ushasikiliza Lissu akianza kuwaponda CCM majukwaani huwa anaanzia kwa Mwinyi mpaka ‘Bi Tozo’ na polisi wanamlindia mkutano wake.

Hao hakina Mwabukusi wanajifanya wajuaji ndio maana Lissu hata mkutano wao wa Temeke akajiendea Belgium asiwepo live maana anaelewa hoja zao zinaweza mletea shida ambazo hazina ulazima kwa upande wake na CDM kwa ujumla.
 
Ndio maana nilikwambia ujaenda kwenye mijadala yao ya Twitter na Clubs. Kama hiyo kauli ya jamaa ya kuwekea sumu polisi sijui watoto wao imekustua ukienda huko wanapojadiliana mipango yao ukisikia unaweza pata pressure.
 
Mtu kama mimi nilijitakia nini? Mbona Polisi wa Tunduma walinipa kesi ya wizi mwaka 2015 nikakaa lockup ilhali sikuiba laptop??
 
Upo sahihi sana mkuu. There's no easy way to freedom and equality than fighting back against tyrant regimes and Police brutality.
 
Saa hizi ùmaarufu wake umebakia kwenye mechi za Simba tu
 
Yaaniii nilimpenda sanaa sanaa sasaa ...kqanza siamini kimetokea nini ule ucha Mungu wake haupo tena amegeuka kama joka jeusi
 
Mama Abdul anavurunda kwa sasa.
 
Tusidanganyane hapa.

Samia anafanya vizuri kuliko wakati wowote ule.

Kuna kipengele cha sera anazozifanyia kazi kakiruka au hakiendi?

Unafikiri Rais anaongoza "blindy" kama maandiko wako?
 
Umeandika vema sana mkuu
 
Tusidanganyane hapa.

Samia anafanya vizuri kuliko wakati wowote ule.

Kuna kipengele cha sera anazozifanyia kazi kakiruka au hakiendi?

Unafikiri Rais anaongoza "blindy" kama maandiko wako?
We tunakujua, kungwi lililo kubuhu la kitchen party!
 
naomba kipande chasauti au video ikionyesha mkazo huo kumradh
 

..amesema watakata rufaa.

..mtu anayesema atakata rufaa bila shaka ameheshimu maamuzi ya mahakama.

..pia nilimsikia akisema watafuata taratibu za kuomba kibali cha maandamano au mikutano.

..mimi naona kuna jitihada za kuwapaka matope wanaopinga mkataba wa Dp.

..jitihadi za kuwapakazia kuwa ni wadini, hilo inaelekea hizo zimefeli. Sasa naona watetezi wamekuja na hili na UHAINI.
 
Kuna vitu umekaririshwa kuhusu IGA nadhani nadhani ndiyo kwanza unatoka chuoni! Kinachopingwa na Mwambukusi and co ni baadhi ya vifungu vyake kwenda kinyume na katiba na sheria zilizopo! Ndiyo sababu serikali inapeleka muswada kubadili sheria zilizopo ili IGA iwe halali kisheria. Assume bunge likagoma kurekebisha Sheria iliyopo IGA itawezekana vipi? Kwa kuwa wabunge ni machawa wata rubber stamp huo muswada na hilo ni tatizo kubwa nchi hii kuwa na wabunge mapandikizi yanayojali matumbo yao! Kwa hiyo hiyo ratification haikubaliki na imefanya kwa kulazimishwa na matakwa ya serikali.

Kama huna fedha za kuchangia gharama za kesi kaa pembeni wanaochangia wanajua platform ya kuchangia!
 
Samia anajiona mwarabu ndio maana anawapa zawadi TANGANYIKA yetu kwa waarabu
Bahati mbaya watanzania wengi hawalielewi hilo.
Ndio maana mtu wa mixed blood na kiarabu huko Zanzibar hawakupewa madaraka hata kidogo.
Maana hiyo ingekuwa kukiuka misingi ya Mapinduzi ya 1964.
Mwarabu kapinduliwa Zanzibar, kaja Bara kapewa nchi.
Hakumaliza mwaka madarakani, akaenda kwa "wajomba zake".
What do you expect?
 
Mbona Amaani karume alipewa hayo madaraka wakati na yeye pia ni mix blood au wewe hujui kuwa Amaani karume ni mix blood?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…