Mkuu labda hujakaa na mwanamke sahihi kwako.Bila discussion wakuu.....
Mademu wengi wa siku hizi daaah wameota mapembe yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.
Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.😔
Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.....
Visa ni vingi wakuu lakini wanawake wanaforce kingi yaani huna chochote lakini umpe.
Barikiwa sana.....ngoja tujitulizeTulieni basi kama lakini ukipata baby mtulivu na muelewa, asaa unapata baby mzuri mzuri kwenye kila idara afu unamchosha tena......daaah acheni baadhi yenu hii itawacost.
Yeah,nimejituliza na wangu kasukuNawe umetulia siyo....
Wengi hawana elimu kuhusu mahusiaano thus ukurupukaMkuu labda hujakaa na mwanamke sahihi kwako.
Ushawahi kufikiri hilo?
Mimi mbona sijaweza kupelekeshwa hivyo, kwa sababu ninajua kuchagua.
Wewe je, umelazimisha kuwa na mtu asiye sahihi kwako?