Siyo siri siku hizi wanawake wameota mapembe

Siyo siri siku hizi wanawake wameota mapembe

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Bila discussion wakuu,

Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.

Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.😔

Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.

Visa ni vingi wakuu, lakini wanawake wanaforce kingi; yaani huna chochote lakini umpe.
 
Lazima kutakuwa na kaupendeleo mahali...mbona mi bado sijapata mapembe yangu???

On a serious note : ukiwa na mtu alafu ukaishia kuhisi unatumika/unatoa sana kuliko unavyopokea just know you are not in the right relationship. Nenda na mambo yako nae aende na mambo yake.
 
Bila discussion wakuu.....
Mademu wengi wa siku hizi daaah wameota mapembe yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.

Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.😔

Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.....

Visa ni vingi wakuu lakini wanawake wanaforce kingi yaani huna chochote lakini umpe.
Mkuu labda hujakaa na mwanamke sahihi kwako.

Ushawahi kufikiri hilo?

Mimi mbona sijaweza kupelekeshwa hivyo, kwa sababu ninajua kuchagua.

Wewe je, umelazimisha kuwa na mtu asiye sahihi kwako?
 
Mkuu labda hujakaa na mwanamke sahihi kwako.

Ushawahi kufikiri hilo?

Mimi mbona sijaweza kupelekeshwa hivyo, kwa sababu ninajua kuchagua.

Wewe je, umelazimisha kuwa na mtu asiye sahihi kwako?
Wew unasema hivo.
 
Sa itakuwaje?
Tulieni basi kama lakini ukipata baby mtulivu na muelewa, asaa unapata baby mzuri mzuri kwenye kila idara afu unamchosha tena......daaah acheni baadhi yenu hii itawacost.
 
Tulieni basi kama lakini ukipata baby mtulivu na muelewa, asaa unapata baby mzuri mzuri kwenye kila idara afu unamchosha tena......daaah acheni baadhi yenu hii itawacost.
Barikiwa sana.....ngoja tujitulize
 
Mkuu labda hujakaa na mwanamke sahihi kwako.

Ushawahi kufikiri hilo?

Mimi mbona sijaweza kupelekeshwa hivyo, kwa sababu ninajua kuchagua.

Wewe je, umelazimisha kuwa na mtu asiye sahihi kwako?
Wengi hawana elimu kuhusu mahusiaano thus ukurupuka
 
Back
Top Bottom