The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Bila discussion wakuu,
Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.
Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika na kumiliki magari.😔
Lakini mbio za sakafuni huishia ukingoni, na sisi men tuna waacha tu tuone wanafika wapi.
Visa ni vingi wakuu, lakini wanawake wanaforce kingi; yaani huna chochote lakini umpe.