Socrates, Plato na Nietzsche: Siyo kila mtu anatakiwa kuwa kiongozi

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Dunia yetu inakwama kwasababu tunakataa uhalisia ambao umekuwepo tokea kitambo, binadamu hatufanani.

Kuna wanadamu ambao huzaliwa wakiwa na akili kubwa kuliko wengine, kimtazamo, kiutendaji na ubunifu. Katika vitu ambavyo huwa tunadanganywa ni kwamba kila mwanadamu anaweza kuwa mbunifu au kiongozi. Huu ni uongo wa hali ya juu mno ambao ndiyo unaitafuna Afrika isiendelee. Wanasiasa wako wengi lakini, ni waongeaji watupu wasiokuwa na uwezo mkubwa kiutendaji na kiubunifu.

Tunaiga demokrasia za Magharibi, ila ukweli mchungu ni kwamba demokrasia za kule zilifanywa na watu waliothibitishwa na jamii kuwa na uwezo wa kiuongozi (Aristocrats). Uingereza, watoto wenye akili walisomeshwa shule za kanisa, halafu wakapelekwa vyuo kama Oxford na Cambridge. Miaka zaidi ya 100, Waziri Mkuu wa Uingereza alikuwa hatoki nje ya chuo cha Oxford. Walivyoacha huu utaratibu wakaanza kupata majanga.

Vivyo hivyo Marekani, walitengeneza mfumo maalum wa kupata viongozi ambao ndiyo umeisaidia Marekani kufika hapa ilipo. Walipoacha huu mfumo na kuanza kuleta mambo ya haki sawa na kujaza kila mwanamke na mweusi kwenye mfumo hata wale ambao hawana uwezo ati kisa kuleta usawa, ndiyo sasa wanakinywea.

Hata hapa Tanzania ukianza kufuatilia vizuri ni kwamba wale waliosomeshwa na mkoloni, mbali tu na kupewa upendeleo, ila kiukweli MOST WERE INTELLECTUALLY SUPERIOR. Watanzania ambao Nyerere aliwakuta wako sekondari za mkoloni walikuwa ndiyo THE FINEST OF ALL TANZANIANS/TOP BRASS YA NCHI. Wajamaa walipoanza kuleta UPUUZI wa kusema kila mtu ni sehemu ya serikali ndiyo matatizo ya muda mrefu yakaanza. Ukweli ni kwamba wengi wanaweza wakaenda shule hata kupata Division I, wakawa hodari wa kuzungumza au kujenga hoja lakini hawawezi kuongoza. Being a Good Leader is a Genetic Gift Not Everyone is Born With.

Ndugu zangu watanganyika ni lazima hili tulifahamu vizuri, UONGOZI SIYO ASALI KILA MTU AKALAMBA. Wengine sisi ni watandaji wazuri ambao tunatakiwa tuajiriwe au tujiajiri kwenye kada za sheria, afya, uchumi na burudani ili tusogeze uchumi mbele. Najua hili litawakera wengi, ila ukweli ni kwamba watanzania wengi ambao ni viongozi waandamizi hawakutakiwa kabisa kushika nyadhifa.

Watoto na Wajuu wengi wa machifu wa kiasili waliweza kuwa watawala wazuri kuliko watu ambao kwao hakuna historia ya uongozi. Mkoloni alilifahamu hili vizuri ndiyo maana akaanza kuwatumia katika kuwatawala Waafrika wenzao. Kiukweli, tunakwama sana pale ambapo tunaamini kila mtu maarufu anaweza akawa mbunge.
 
Kwani kuwa kiongozi unatakiwa na DNA strands za aina gani?Acha kuwaza na kuamini kwa DNA kama za Mangungo zinafaa kwa UONGOZI
 
"The very essence of leadership is that you have to have vision. You can't blow an uncertain trumpet."
-Theodore M. Hesburgh
 
Wakina Dr James Watson ambao walipata Nobel Prize on Genetics, wenye akili kuliko mimi na wewe wanaamini kabisa kwamba DNA inachangia akili ya mtu. Kasome tafiti zake, japo najua hutafanya hivyo. Mtoto wa mtu kama Elon Musk au Joseph Stiglitz ana asilimia kubwa ya kuwa na uwezo wa kiakili kama baba yake. Huu ndiyo ukweli.​
 
"The very essence of leadership is that you have to have vision. You can't blow an uncertain trumpet."
-Theodore M. Hesburgh
Not everyone can harness a vision, let alone think rationally. Damn, these talks of democracy and equality are nothing but a smokescreen of populism and demagoguery. Historia inaonesha kwamba utawala "Aristocracy" ni "Efficient" than a Democracy alone. Kuanzia Persia, Rome, Britain, China hadi America. Sisi tunaokota tu watu halafu tunawapa nchi, halafu wakiharibu tunaanza kutafuta mchawi.​
 
Changamoto ya aristocracy ni endapo Power itamuangukia mtu asiye competent, itakua ngumu kumuondoa. Kwenye democracy kiongozi akizungua mnaweza kumuangusha kwenye uchaguzi unaofuata.
 
A4AC83D8-30F8-4067-A786-17CA7EE138F6.jpeg

Msingi wa kuendesha nchi za ulaya ni hiki kitabu, sidhani kama unaweza kuta senior civil servant au mwanasiasa mkongwe ambae ajasoma hiko kitabu.

Vingine muhimu kwao ni hivyo viwili 👇

CA8C9F16-49EC-4183-BCDE-F926EB9E7C31.jpeg

231E9C27-34C2-4E42-9B5B-E47069D8CEEB.jpeg

Ukisoma hivyo vitabu ndio utaelewa msingi wa western democracy na namna wanavyoendesha nchi; hasa The Republic ni kitabu muhimu mno kwao.
 
Walio soma philosophy na historia vema wanaelewa kiundani uzito wa uzi huu.

Ndio maana watu wenye akili kama Plato alipendekeza "mfalme Mwanafalsafa (philosopher king).na ukipitia historia inaonesha kwamba utawala wa wachache wenye akili (Aristocracy) ndio utawala bora na ulio jenga mataifa makubwa.
 
Hapa tunapeana ajira, vyeo, teuzi kwa connection na uchawa, hayo maendeleo tutayasikia tu.
 
Ndio maana Globalists wamekuja na mtazamo kuwa population ya Dunia inapaswa kupungua kwa asilimia 80 ili Utawala uwe rahisi na kuepuka ugomvi na mapigano.

Kuwa na idadi kubwa ya watu wajinga wasioweza kuzimudu changamoto za mazingira yao mpaka wasaidiwe ndio huzalisha viongozi wahuni na majizi wanaopata pa kuanzia.

Inawezekana COVID 19, vita vya Ukrainie na Russia na sasa Israel na HAMAS vinalenga kupunguza idadi ya watu wajinga Duniani. 🤔
 
Watoto na Wajuu wengi wa machifu wa kiasili waliweza kuwa watawala wazuri kuliko watu ambao kwao hakuna historia ya uongozi. Mkoloni alilifahamu hili vizuri ndiyo maana akaanza kuwatumia katika kuwatawala Waafrika wenzao. Kiukweli, tunakwama sana pale ambapo tunaamini kila mtu maarufu anaweza akawa mbunge.
Machifu hawa hawa waliouza 'raia' wao kuwa watumwa kwa waarabu ?.....

Anyway...hata wenye vipaji vya uongozi tutavitambuaje ?...kwa kuwa wazazi wao walikuwa viongozi hivyo wamerithi?

Una hoja japo siiafiki asilimia zote.
 
Changamoto ya aristocracy ni endapo Power itamuangukia mtu asiye competent, itakua ngumu kumuondoa. Kwenye democracy kiongozi akizungua mnaweza kumuangusha kwenye uchaguzi unaofuata.
Nakubaliana na wewe, hili liliwahi kutokea Rome. Kaisari Tiberio (Tiberius) anakufa akaamua kumwachia nchi mtoto wake wa kufikia (Adopted Child) Caligula nchi. Roma walikiona cha mtema kuni ikabidi wapange njama kumuua tu ili kunusuru nchi. Upande mwingine Kaisari Marcus Aurelius (The Philosopher) aliamua kumuachia nchi mtoto wake Commodus ambaye kiuhalisia Roma nzima ilikuwa haimtaki kwasababu alikuwa hana uwezo. Nchi napo ikayumba!

Ndiyo maana nasema ARISTOCRACY should always not be biological. Fully baked and talented people can be grafted into positions of power subject to scrutiny. This is what we call A MIXED GOVERNMENT, whereas we have the amalgamation of The Monarchy, The Aristocracy and Democracy in one nation. No divine rightsm No Kleptocracy.! Mtawala akisumbua mnamtoa na kumsweka gerezani au kumnyonga kabisa.

It worked in Singapore, Soviet Union, Israel, Imperial Japan, Imperial Germany, Britain even in Nazi Germany.
 
View attachment 2805864

Msingi wa kuendesha nchi za ulaya ni hiki kitabu, sidhani kama unaweza kuta senior civil servant au mwanasiasa mkongwe ambae ajasoma hiko kitabu.

Vingine muhimu kwao ni hivyo viwili 👇

View attachment 2805865
View attachment 2805866

Ukisoma hivyo vitabu ndio utaelewa msingi wa western democracy na namna wanavyoendesha nchi; hasa The Republic ni kitabu muhimu mno kwao.
Ukisoma Book 7 of the Republic, Plato anaanza kumuongelea mwalimu wake Socrates. Ambapo binafsi na akili zake zote alikataa kabisa mfumo wa Demokrasia. Akatoa mfano wa Meli & Nahodha, kwamba nahodha anvyoongoza meli anafanya hivyo kwasababu amefundwa. Lakini pale abiria anapotamani na yeye awe nahodha hata kama hana utaalamu shida lazima itokee. Abiria wote wakianza kusema tupige kura tumchague nahodha wetu, basi tegemea hata wale ambao hawana uwezo ili wanakubalika watakuwa manahodha.

Hili ndilo lilichangia mabwanyeye wa Athene wamuue bwana Socrates kwasababu waliambiwa ukweli ambao hawataki kabisa kuusikia. Athene ilitawaliwa na wapiga domo (Sophists and Demagogue) ambao mbali na utaalamu wa maneno, hawakuwa na maono au uwezo wa kuingoza nchi ile kufika mbali. Hili ndilo linaikuta Tanganyika, halafu tunalaumu ila ukweli ni kwamba MIZEE MINGI YA COLD-WAR ambayo inashikilia CHAMA, JESHI na TISS haitakiwi kabisa iendelee kuwepo pale. Mingi imefika pale kwa AFFIRMATIVE ACTION ya Israel Elinewinga, not MERITOCRACY.​
 
Ndio maana Globalists wamekuja na mtazamo kuwa population ya Dunia inapaswa kupungua kwa asilimia 80 ili Utawala uwe rahisi na kuepuka ugomvi na mapigano.

Kuwa na idadi kubwa ya watu wajinga wasioweza kuzimudu changamoto za mazingira yao mpaka wasaidiwe ndio huzalisha viongozi wahuni na majizi wanaopata pa kuanzia.

Inawezekana COVID 19, vita vya Ukrainie na Russia na sasa Israel na HAMAS vinalenga kupunguza idadi ya watu wajinga Duniani. 🤔
Tatizo linakuja pale tu ambapo Globalists hawataki wao kuwa wa kwanza kufa, lakini pia hili suala wanalifanya kwa minajili ubaguzi wa rangi. The Caucasian Race cannot take us into the future. The Western Civilization has deteriorated rapidly, offering us no cultural, economic or political alternative to the unsustainable system of Capitalism. Sehemu kubwa ya mifumo ya Kimagharibi ni ile ya Kigiriki na Kilatini (Rome & Greek). Ukisoma historia, hakuna kizazi kinachojisifia kufanya mambo mengi duniani kama The Current Western World, ila kiukweli hakijabuni kitu zaidi ya kuibia yale ya Roma na Ugiriki.

Watu kama hawa ambao wenyewe wameshindwa kulinda nguvu ambayo iko kwao, hadi kupelekea Asia kuwapiku hawawezi kamwe kuipeleka dunia nchi ya ahadi. Wajerumani na Warusi walijaribu kuua wajinga, lakini wakajikuta bado kizazi cha SUPERMEN (Übermensch) hakipo na wajinga bado wapo tu. The World is too big, and they're too small. Hivyo njia mbadala ni kwamba kuliko kuanza kuua watu kupitia EUGENICS, WORLD WARS and EPIDEMICS, heri wachache wenye akili sana waachiwe wawatawale wengi wenye akili ndogo.​
 
View attachment 2805864

Msingi wa kuendesha nchi za ulaya ni hiki kitabu, sidhani kama unaweza kuta senior civil servant au mwanasiasa mkongwe ambae ajasoma hiko kitabu.

Vingine muhimu kwao ni hivyo viwili [emoji116]

View attachment 2805865
View attachment 2805866

Ukisoma hivyo vitabu ndio utaelewa msingi wa western democracy na namna wanavyoendesha nchi; hasa The Republic ni kitabu muhimu mno kwao.
You can read na don't be educated.
Ntarejea biblia. Yesu mtume na kwa wengine mtume, nabii na Mungu. Alichagua watu pasi na kujali jinsi watu wanavyowaona. Lakini walikuwa na kitu ambavhi Yesu alikiona kwao ili wawe viongozi wa kikanisa.

Alipokufa mmoja kati ya wale 12. Wale 11 wakamchagua Mathias. Lakini Yesu akamchagua Paulo muuaji, mpagani, moinga Kristo. Hapa Yesu anatufundisha kuwa kiongozi kama hana utashi na ujasiri wa kusimamia jambo hata kugharimu maisha yake huyo hapaswi kuwa kiongozi.

Mitazamo ipi mingi juu ya kiongozi bora. Mtoa mada kasema kuhusu genealogy ya machifu. Na ni kweli angalia Burritos, Sinas, Kabakas, Meri, Machembas, Mkwawas etc. Ndiyo maana hata viongozi waleo wanajihusisha na uchifu au kupewa uchifu ktk makabila fulani fulani kwa dhana ya kupata ridhaa na kukubalika kiuongozi.

Lakini ukipima, au ukitazama kizazi hiki cha viongozi wa sasa au niseme hata Ike genealogy ya kizazi cha kwanza cha Uhuru ama kizazi cha machifu wengi ukianzia kusini mpka magharibi ya Africa wamekosa utashi wa kiuongozi au dhana nzima ya ukombozi wa kifikra, utamaduni na uchumi ilimezwa na uhuru wa kisiasa.
 
Mtoa mada ana point muhimu. Mfano Rais wa sasa ni dhahiri hana uwezo wa kuongoza hata kijiji.

Yupo vizuri kusafiri, kuchukua mikopo, kuomba misaada. Hana vision, seriousness, mipango, strategies za kusema nchi itakuwa wapi 50 years from now. Yupo yupo tu.

Hatujui hata baba, babu yake ni nani? Nyerere ukoo wake wote ulijulikana
 
Back
Top Bottom